johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Wewe una Phd ya unafiki.Watu wenye akili wanaelewa wazi kuwa Halima James Mdee kuendelea kubishana na kamati kuu ya Chadema ni kupoteza muda wake bure kwa sababu swala hili limeshafika mwisho
Binafsi nimemuelewa Spika mstaafu wa bunge ambaye sahihi yake imo kwenye katiba ya JMT na nimeona ni kama amelitamatisha swala hili kiitifaki zaidi.
Kwamba ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
Kauli ya Spika mstaafu Msekwa kwamba " Daktari akipokea wagonjwa akiisha kuwatibu wanaondoka au wakifa wanaondoka" imejaa hekima kubwa ambayo unaweza usiione kwa haraka haraka.
Halima James Mdee na wenzake wakubali kuwa waliingizwa " force king" ili draft likamilike mapema na sasa mchezo umekwisha.
Mimi ni nani nimbishiye muasisi wa katiba ya JMT?!!
Maendeleo hayana vyama!
Huyo hata akiambiwa na CCM atembee uchi, atasifia tu. Mzoee.View attachment 1637054
johnthebaptist wewe ni mnafiki na msukule unaesimamia chochote ambacho kinapangwa huko ccm dhidi ya Chadema.
Kupitia mabandiko yenu na comments zenu tunajua mipango inayopangwa huko ccm pamoja na kuweweseka kwa serikali hii isiyojua isimamie kipi
Hapo si suala la ujuzi wa katiba bali ni suala la fursa na kucheza na sheria.Watu wenye akili wanaelewa wazi kuwa Halima James Mdee kuendelea kubishana na kamati kuu ya Chadema ni kupoteza muda wake bure kwa sababu swala hili limeshafika mwisho
Binafsi nimemuelewa Spika mstaafu wa bunge ambaye sahihi yake imo kwenye katiba ya JMT na nimeona ni kama amelitamatisha swala hili kiitifaki zaidi.
Kwamba ni heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
Kauli ya Spika mstaafu Msekwa kwamba " Daktari akipokea wagonjwa akiisha kuwatibu wanaondoka au wakifa wanaondoka" imejaa hekima kubwa ambayo unaweza usiione kwa haraka haraka.
Halima James Mdee na wenzake wakubali kuwa waliingizwa " force king" ili draft likamilike mapema na sasa mchezo umekwisha.
Mimi ni nani nimbishiye muasisi wa katiba ya JMT?!!
Maendeleo hayana vyama!
I smell something kwa huyu Bwashee.Una A+ ya unafiki.
Asingepolwa ubunge wake kijambazi na Gwaji boy na system,haya yangetokea?Japo anaweza kuwa haijui katiba zaid ya Msekwa, lkn acha amjambi.she mw/kiti na genge lake. Bora Halima Mdee kaonesha uthubutu na kugoma kuburuzwa kila siku kwa maslahi ya mtu/watu fulan ndan ya chama.
Kabisa Mkuu wala hujakosea! Huyo ni punguani asiyejielewaHuyo hata akiambiwa na CCM atembee uchi, atasifia tu. Mzoee.
Huyu Ni mataga huwa hawanaga akili sawa sawa Wana wengeView attachment 1637054
johnthebaptist wewe ni mnafiki na msukule unaesimamia chochote ambacho kinapangwa huko ccm dhidi ya Chadema.
Kupitia mabandiko yenu na comments zenu tunajua mipango inayopangwa huko ccm pamoja na kuweweseka kwa serikali hii isiyojua isimamie kipi
Comment yake ilinipelekea kujiuliza alikua nani niliyemsoma ame commment kitu hicho.View attachment 1637054
johnthebaptist wewe ni mnafiki na msukule unaesimamia chochote ambacho kinapangwa huko ccm dhidi ya Chadema.
Kupitia mabandiko yenu na comments zenu tunajua mipango inayopangwa huko ccm pamoja na kuweweseka kwa serikali hii isiyojua isimamie kipi
Ni hatari sana! Alafu huyu anaonekana ni mmoja wa wanaopelekewa ujumbe kuwa waandike nini kulingana na shinikizo la wananchi mitandaoni mpaka mtaani.Comment yake ilinipelekea kujiuliza alikua nani niliyemsoma ame commment kitu hicho.
Nasikia ktk katiba ya CDM ukipeleka maswala ya chama mahakamani umekwisha, kama alivyo Fanya zitto na ikawa mwisho wake na akaona aende kuanzisha chama chake...Hapo si suala la ujuzi wa katiba bali ni suala la fursa na kucheza na sheria.
Kamati kuu chadema ilishapigwa hapo amini usiamini. Kesi itaenda mahakamani na wabunge watapeta mpaka 2025
Ametunukiwa na Polepole au Bashiru ?Una A+ ya unafiki.
Ukimfuatilia huyu mtu utagundua anachokiandika mtandaoni ni fikra /mipango ya mwenyekiti wa ccm ambayo ndio imekuwa kama dira ya taifa.Huyu Ni mataga huwa hawanaga akili sawa sawa Wana wenge