Siamini!! Jaman nimepata demu wa kizungu!!

Siamini!! Jaman nimepata demu wa kizungu!!

Jiandae kuwa commanded as if wewe ndie mwanamke.
Jiandae kukamatwa na pilisi pindi hata ukimfokea.
Jiandae kupelekeshwa hadi kufulishwa bikni.
Jiandae kushurutishwa na yeye ndie awe anapokea mshahara wako.
Jiandae kugonga ngozi ya baridi kama nyama ya nyoka.
Jiandae kushurutishwa kugawiwa/kupangiwa kazi za ndani.
Jiandae kushurutishwa kumpiga deki daily kabla hajasinzia.
Nakadhalika, nakadhalika
ahsante! daaah!
 
nakwambia kiupole kabisa ndugu yangu kaa mbali na demu wa harmonize utaumia.
 
Changamoto kubwa ya wazungu ni midoli. Kuna mwanafunzi alijiingiza kwenye hayo mahusiano na mzungu wa kike chuo kikuu baadae yule mwanake akawa anamfanyia midoli huko uwani kwake mwishowe akawa addicted and at last akageuka kuwa shoga
 
Daaah!!! Demu wa kizungu ma K yao makavu kweli kweli halafu hayajui mapenzi kabisa usione wale wa kwenye porn videos ndo ukajua sawa na hao mjomba umekwisha halafu ujiandaye kwenda kuwa house boy huko anapokupeleka... We piga mzigo hapa hapa Tz kwenda nchi za watu kisa mapenza ni UTUMWA hebu jiupdate mkuu
 
pengine anataka akupeleke UK kwenye taasisi ya uchunguzi kuthibitisha imani yao kuwa waafrika tulitokana na nyani
 
response kwenye hii thread utajua jinsi wabongo walivyo na stress plus wivu kama wachawi
 
Usisahau nguguzo, kitu kizuri kula na nduguzo,sharing is caring
 
anaenda kukupeleka ukamleleee BABU YAKE kashazeeeka...unafkiri wazungu mafala sana eeh?

Unaenda pewa kazi ya kevin hart kwenye "the Upside" movie

Utamuonja 0ne day kama Kionjo tu rest of the days ana ku dump kwa babu yake yeye anarudi BONGO kutafuta chaguo la moyo wake.

Wakati huo upo mbele Tudanganye unafanya kazi OFISINI hatutodanganyiko ng'ooo...

SAFARI NJEMA.
 
Aman iwe nanyi!
Nafanya kazi na shirika fulani la kigeni miaka kadhaa! kuna binti wa kizungu nimekuwa karibu naye tangu nimejiunga na shirika hili. kila anapokwenda kwao Uk. amekuwa akinitaka twende wote Ilakutokana na majukumu yangu nimekuwa nikikosa muda wa kuambatana naye! jana nimepata likizo ya mwezi mzima mtoto kesha nikatia tiketi ya ndege kwenda Uk. pia kaniahidi ntamgegeda mpaka niseme basi! jamani mnipe changamoto ntakazo pitia huko kwao Uk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena nchi yenyewe Uingereza, wewe njoo ukiwa umetokwa macho pima, atakuacha kwenye selo za huku. Hawa jamaa wanasheria kali sana za kulinda wanawake. Hata kama ni mpenzi wako au mkeo ukilala naye akiwa amelewa na akaripoti kwamba umemungilia bila kujitambua, unalo tayari. Pia mkikoromeana na akashtaki kuwa ametishwa na huo mkoromeo tayara huo ni unyanyasaji wa kijinsia. Wewe ni ndani tu au unakuwa deported back faster.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom