Siamini!! Jaman nimepata demu wa kizungu!!

bush crazy

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
773
Reaction score
1,087
Aman iwe nanyi!
Nafanya kazi na shirika fulani la kigeni miaka kadhaa! kuna binti wa kizungu nimekuwa karibu naye tangu nimejiunga na shirika hili. kila anapokwenda kwao Uk. amekuwa akinitaka twende wote Ilakutokana na majukumu yangu nimekuwa nikikosa muda wa kuambatana naye! jana nimepata likizo ya mwezi mzima mtoto kesha nikatia tiketi ya ndege kwenda Uk. pia kaniahidi ntamgegeda mpaka niseme basi! jamani mnipe changamoto ntakazo pitia huko kwao Uk.
 
Kichwa cha habari "huamini" umepata demu wa kizungu.

Then ameomba umpe mimba lkn unamuogopa mchumba wako.

Unapoleta chai hakikisha imechemka vizuri na kuiva pia sukari ikoe vizuri. Tiaga na iriki na tangawizi kwa mbali.
 
Troublemaker 😄
 
Naona Ume andika uku unasukuma mzigo chooni ...siku nyingne usubiri kwanza
 
Huyu ndio kuna mzee kijijin anajisifu nina dume
 
Kichwa cha habari "huamini" umepata demu wa kizungu.

Then ameomba umpe mimba lkn unamuogopa mchumba wako.

Unapoleta chai hakikisha imechemka vizuri na kuiva pia sukari ikoe vizuri. Tiaga na iriki na tangawizi kwa mbali.
Asisahau vitafunwa

Binafsi napendelea awe analeta chapati
 
Aman iwe nanyi!
Nafanya kazi na shirika fulani la kigeni miaka kadhaa! kuna binti wa kizungu nimekuwa karibu naye tangu nimejiunga na shirika hili. kila anapokwenda kwao Uk. amekuwa akinitaka twende wote but mi nimekuwa nazingua kwa kumwogopa mchumba wangu! sasa jana kanilazimisha ni mpe mimba ili apate tu mtoto kutoka kwangu! Naombeni ushauri maana nampenda sana mchumba wangu! huyu naona akienda kwao atanisumbua sana!
Dah.... Sasa unahitaji ushauri gani? [emoji2960]
 
Kichwa cha habari "huamini" umepata demu wa kizungu.

Then ameomba umpe mimba lkn unamuogopa mchumba wako.

Unapoleta chai hakikisha imechemka vizuri na kuiva pia sukari ikoe vizuri. Tiaga na iriki na tangawizi kwa mbali.
Acha wivu
 
Chai tena chai kabisa
Hujasema kuhusu passport.visa yeye akate tiketi huku hunahata passport Mkuu
 
Aman iwe nanyi!
Nafanya kazi na shirika fulani la kigeni miaka kadhaa! kuna binti wa kizungu nimekuwa karibu naye tangu nimejiunga na shirika hili. kila anapokwenda kwao Uk. amekuwa akinitaka twende wote Ilakutokana na majukumu yangu nimekuwa nikikosa muda wa kuambatana naye! jana nimepata likizo ya mwezi mzima mtoto kesha nikatia tiketi ya ndege kwenda Uk. pia kaniahidi ntamgegeda mpaka niseme basi! jamani mnipe changamoto ntakazo pitia huko kwao Uk.
Jiandae kuwa commanded as if wewe ndie mwanamke.
Jiandae kukamatwa na pilisi pindi hata ukimfokea.
Jiandae kupelekeshwa hadi kufulishwa bikni.
Jiandae kushurutishwa na yeye ndie awe anapokea mshahara wako.
Jiandae kugonga ngozi ya baridi kama nyama ya nyoka.
Jiandae kushurutishwa kugawiwa/kupangiwa kazi za ndani.
Jiandae kushurutishwa kumpiga deki daily kabla hajasinzia.
Nakadhalika, nakadhalika
 
Umesahau 0713...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom