Siamini....Bibi kumbe member JF!!

Humu ndani ni wa lini? Hebu soma mwenyewe hapa chini:

Join Date : 28th February 2011
Location :
Posts : 431
Thanks
184
Thanked 98 Times in 81 Posts
Rep Power : 21

Alaa laaaa, kwa mtaji huu Babu inabidi uombe kibali cha MoDs na Inv wafute page yako ya PM na some posts hasa zile za wajukuu wale zilizokuamshia fire.......hahaaaaa
 
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,

Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.

Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.

Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.

Wenu katika kuijaza dunia

Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.

Hahahahahah Mkuu labda Bibi anakuchora tu...anaelewa kila kilichokuwa kinatendwa na Babu hapa jamvini. :bange:

lol salallee
bora bibi kaja, anajua kusoma alama za nyakati. maana niliona dalili za babu kuwa na vitukuu na vilembwe visivyo na idadi.
shukrani za dhati kutoka kwa mjukuu mtiifu.!!!
 
AGE-MATE

kweli nimeamini hodi ya chooni haitikiwi karibu, naona bibi kaamua aingie tu, hakuna cha miguno wala kugonga kikopo chini

basi naye awe mfadhili mkuu wa ICS female wing
 
Hahahaha....wacha hii maneno!

Hahahahahah Mkuu labda Bibi anakuchora tu...anaelewa kila kilichokuwa kinatendwa na Babu hapa jamvini. :bange:

Bibi bana amenielewa. nimemwambia humu ndani ni masihara tu, asichukulie siriaz kivile. Kanielewa tayari.

lol salallee
bora bibi kaja, anajua kusoma alama za nyakati. maana niliona dalili za babu kuwa na vitukuu na vilembwe visivyo na idadi.
shukrani za dhati kutoka kwa mjukuu mtiifu.!!!
Hahahaa...na wewe ukome kuniPM, ana pasiwedi yangu....nina mpango wa kuibadili very soon.

AGE-MATE

kweli nimeamini hodi ya chooni haitikiwi karibu, naona bibi kaamua aingie tu, hakuna cha miguno wala kugonga kikopo chini

basi naye awe mfadhili mkuu wa ICS female wing
Age mate mdogo mdogo tafazali. Utaharibu mazima ujue.

Aiseee!! Na ukiingia tu na ID ya pili namshtua bibi.lol
Sasa huo ndio unoko sasa. Homuboi wa namna hii hatari sana. Hachelewi kukumegea mwanao.
 
Usimfundishe mambo ya PM bibi yetu, maana Kimey atampa lile faili zima la katiba ya ICS!
Sasa sijui utatokea wapi!...
Lakini mbona bibi hajitokezi?...Anza kuogopa, maana huenda ashaambiwa tayari!
 
Hahahaha, asprini uko worried na hilo? Mkaribishe kwa mikono miwili, kuna juice ya ukwaju, ubuyu, rozella etc. Sisi tupo kwa ajii yake. Tunampenda sana.
 
Yani babu ndio unajua leo kwamba bibi yupo humu? Lol bibi yupo humu long tyme alikua anakulia tyming tu ...:A S-baby:
 
hahahaaaaa.......

Mambo ya kuwa Aspr-IN watoto wa watu pale Kambi ya Fisi Arusha na Mianzini sasa kwishieni.

Maana nasikia ulikuwa waingia kwa Gia ya mie ndiye Aspr-IN wa JF......... unaanza kugawa Autograph na namba ya simu :)

Sawa babu wamekusikia wajukuu zako na mwambie bibi kuwa hao walikuwa watoto wa Chekechea wakati unakula Ndizi za Mzee Lugundi na mama Fadhila hihiiiiiii
 
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,

Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.

Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.

Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.

Wenu katika kuijaza dunia

Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.

Big Bro ODM habari yake baaana. Uko pouwa?? Pamoja mkuu. Nimecheka ile mbayaaa jo umefumaniwa eeh?
 
Wajukuu zangu kwa ujumla salamu,

Napenda kuwafahamisheni wajukuu watiifu na wakorofi kwa ujumla kuwa bibi yenu ni member wa JF lakini babu mimi sikuwa najua....Leo ndio nimejua rasmi.

Sasa wale mabinti mliokuwa mnaniPM kuhusu mambo ya kudumisha mila kaeni chonjo, mwenye nyumba yuko sebuleni. Msimwambie yale mambo ya ISC tafazali, alikuwa hajajiunga wakati nikiwa mfadhili mkuu wa chama.

Bibi popote ulipo nakuomba ujitambulishe wajukuu wakujue.

Wenu katika kuijaza dunia

Babu Aspirin a.k.a Big Braza ODM
Kaunta ya Juu Club Etienne's
Boko- Basihaya.

Nikimfehem nitaanza mchokoza na PM....:A S-baby:
 
Kazi unayo babu, utuletee pipi kwa wingi na biskuti vinginevyo utakuta threads zote zinzohusu INFIZ ziko kwenye desktop

Am counting .................1......................2...........................3
 
avatar10043_47.gif
Nguli Jabali fantastic pose, stress not applicable.:happy::happy:
 
Back
Top Bottom