Habari zenu wanajamvi?ihope mpo salama salmini.*clear throat*wanajamvi mimi ni bwamdogo tu wa miaka 22 hivi ambaye nimemaliza form 6 mwaka jana ila mwezi huo unaokuja wa nyerere ndo nitaanza chuo.Katika kipindi hiki nipo home nilikua najishughulisha na kuimport used smartphone na kutengeneza hzo samrtphones kwa upande wa software and yeah im a geek guy..kwakua nilikua na Mabudda wangu kibao mavyuo na wananijua kua mimi ndo mkali wao katika yale mambo ya simu basi nikawa na connection kubwa ya kuuza na kutengeneza simu japo nilikua sina ofisi..kitu ambacho sitokisahau katika ufundi huu wa simu ni kua ulinipa urafiki na uhusiano na wanawake wengi sana tena wazuri,nilijiona kama nimekua attractive ghafla japo mwanzo nilikua naonekana boya,pia ufundi huu simu ndo umenifanya niget laid kwa mara ya kwanza,pia ufundi huu simu umenifanya nile mzigo wanawake ambao hata wao hawakuawahi kutegemea kama ataliwa na mimi...just a little knowledge and much confidence and you can get any P..
whatever you are drinking or smoking.., i would have non of it...
Sasa kutengeneza simu tu unawala kirahisi? kivip unawatengezea bure bila malipo? Wapenda vya bure wana shida sana.
No hua sitengenezi bure ila inakua cheap...ila kinachao wa attract zaidi kua mimi sipo kibznez zaidi and mda wowote wakiwa na tatizo la simu wananipigia nawasaidia
kwa ujumla mafundi wengi kama cherehani, magari, umeme, Welding, ma-dish na Tvs, huwa wana-enjoy sana na wanawake wengi.(japo sijajua kuhusu mashuushaini) .Habari zenu wanajamvi?ihope mpo salama salmini.*clear throat*wanajamvi mimi ni bwamdogo tu wa miaka 22 hivi ambaye nimemaliza form 6 mwaka jana ila mwezi huo unaokuja wa nyerere ndo nitaanza chuo.Katika kipindi hiki nipo home nilikua najishughulisha na kuimport used smartphone na kutengeneza hzo samrtphones kwa upande wa software and yeah im a geek guy..kwakua nilikua na Mabudda wangu kibao mavyuo na wananijua kua mimi ndo mkali wao katika yale mambo ya simu basi nikawa na connection kubwa ya kuuza na kutengeneza simu japo nilikua sina ofisi..kitu ambacho sitokisahau katika ufundi huu wa simu ni kua ulinipa urafiki na uhusiano na wanawake wengi sana tena wazuri,nilijiona kama nimekua attractive ghafla japo mwanzo nilikua naonekana boya,pia ufundi huu simu ndo umenifanya niget laid kwa mara ya kwanza,pia ufundi huu simu umenifanya nile mzigo wanawake ambao hata wao hawakuawahi kutegemea kama ataliwa na mimi...just a little knowledge and much confidence and you can get any P..
kwa ujumla mafundi wengi kama cherehani, magari, umeme, Welding, ma-dish na Tvs, huwa wana-enjoy sana na wanawake wengi.(japo sijajua kuhusu mashuushaini) .
Hata ukienda chuo ukawa unaakili sana utawapata pia
Wanawake sikuzote wanawa-admire wale wanaume wanaoonekana wanavipaji fulani fulani.. nakushauri chukulia kama hali ya kawaida. Ili uweze kujenga fyucha..
Hua wanantengenezea mazingira wenyewe...girls loves someone ambaye anaweza akamhelp kwa kitu flani.