Siachi ngoo

Siachi ngoo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
" HII YA MWISHO SIFANYI TENA "

Maneno Haya si Mageni kwa Wenyeji Labda kwa Wageni wa Huu Uraibu

Ni heri uwe mlevi au Mvuta Bangi au Mtumiaji wa Pombe unaweza kuacha tena kwa nguvu za watu Baki yaani watu wanaokuzunguka. LAKINI sio Punyeto au Masturbation

Kuacha Kujichua sio jambo rahisi kama wengi wanavyodhani, Kwasababu Linakuhitaji wewe mwenyewe muhusika kulifanyia kazi wala hauhitaji usimamizi wa wazazi au rafiki Kwasababu ni kitendo cha siri cha aibu

👇Basi, Hii ni kwa kijana anayesumbuka na Kuacha Kujichua, Yaani unajitahidi Kuacha lakini Unajikuta kila Siku Unaanguka pale pale

ZIFUATAZO NI NJIA AU MBINU ZINAZOWEZA KUKUSAIDIA KUACHA

1️⃣ EPUKA VYANZO VYA NGONO
  • Kama vile, kuangalia picha au video za wadada wakiwa nusu uchi au utupu kabisa, Futa website zote za Ngono, unfollow page zinazopost wadada ambao wapo nusu utupu.
  • Najua, ni Ngumu Lakini linapokuja suala la Mabadiliko yako binafsi haina budi

2️⃣USIKAE PEKE YAKO MUDA MWINGI
  • Tafuta Kampani, jichanganye upige story
  • Kama ni Ngumu, Basi yapo Magroup ya WhatsApp, Facebook yanajadili mambo chanya
  • Jiunge na Vikundi mbalimbali vya maendeleo au Huduma
  • Kukaa peke Yako ina ushawishi mkubwa kufanya kile kitendo

3️⃣TAFUTA MSAADA WA KITABIBU
  • Tafuta Namba za Washauri wa Afya unaowaamini wanaweza kukuweka sawa kisaikolojia na kiakili
  • Watu ambao wataweza kukushauri na kukuongoza kwenye safari yako ya kuacha
  • Hapa, sio lazima awe rafiki, ndugu au jamaa Kwasababu ya usiri au Peivacy

4️⃣JIWEKE BIZE MUDA WOTE
  • Hakikisha Unakuwa bize sana
  • Kama Hauna Kazi au biashara baso Tafuta
  • Hakikisha kila dakika kwako uwe bize kufikiria au kufanya jambo jipya
  • Jiweke Bize na mazoezi pia

5️⃣MSHIRIKISHE MUNGU
  • Kiukweli, Punyeto ni Demonic spirit, hivyo bila msaada wa kiroho itakuwa ni safari ndefu kuacha
  • Kila linapokuja wazo la kujichua fumba macho na ujiambie kuacha kufikiria hilo.
 
SAVW HII KIDUME IFANYIE KAZI UNISHUKURU
 

Attachments

  • VID-20260128-WA0134(1).mp4
    1.5 MB
20260129_202524.jpg
 
Hata ukiwa bize na hujagegeda mda, bdo utasikia kasauti kwa mbal kanaku nong'oneza "my friend, nimekumis tukapge la kuondoa stress".

Hapo kuacha hadi maamuz magumu sana au uwe na demu/mke ambae anapenda kugegedana, mgegedane sana, hamu ya tendo isiwepo mara kwa mara.

Japo punyeto is safe than girls who are STD's agents and gold diggers
 
Back
Top Bottom