Mr.kichuli
Member
- Mar 21, 2013
- 29
- 6
Endapo atajitokeza ndo mengine ntamweleza kwani ni vibaya kutaja sifa za ninae mtaka
I fail to understand. Kijana wa miaka 23 unashindwa kupta mchumba mtaani kwenu, kanisani, kazini? Hata rafiki wa rafiki? Something is very wrong with you bwana.
Hebu muache kijana wa miaka 23 atafute mchumba...alaaaah!!!
I fail to understand. Kijana wa miaka 23 unashindwa kupta mchumba mtaani kwenu, kanisani, kazini? Hata rafiki wa rafiki? Something is very wrong with you bwana.
Hehehe, basi best ngoja niwe mpole. Japo sijaelewa kwa kweli!
Huo umri wapo shule nakushangaa wewe unatangaza kuoa umri huoMmi ni kijna mwenye umri wa miaka 23 n nina fanya kazi naihifadhi kwa sasa natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo...awe mwl wa prmary..sec o-level,,,,nesi au anosomea ualimu dini mkristo na ni vizuri akiwa msabato awe chin ya umri wangu hapo juu!!!!plz anitafute humu 0712620321..