Si umeshindwa kunisahau basi ntakusaidia unisahau?

Si umeshindwa kunisahau basi ntakusaidia unisahau?

Achana na huyo kinuka mkojo.tafuta mdada matured
 
Watu na TAARUMA zao bana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] una dogo naweeee nilikosea ni Taaluma sio Taaruma Dah yaan umu jf Yaan wanakusubiri uteleze tu wakunyooshe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Usijilaumu au kusikitika kwa hali hiyo iliyotokea baina yako na huyo mwanamke. Kuna mengi sana ambayo humfanya mwanamke akukatae na kati ya hayo, yapo mengi tu ambayo ukiyajua yatakufanya umchukie au endapo ataridhia ombi lako na mkawa kwenye uhusiano, unaweza usiyavumilie. Wanawake wapo wengi, songa mbele tu utafute wa kwako,utampata.
 
Back
Top Bottom