Si ubinadamu kwa PPF kuweka fedha kwenye fixed deposit huku wastaafu wanacheleweshewa mafao


Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,791
Likes
15,200
Points
280
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,791 15,200 280
Kama taarifa zao zinavyojieleza, huwezi amini kuna wastaafu wanangojea kulipwa mafao yao wengine kwa takrabini mwaka mmoja wakati PPF wakiendelea kujenga maghorofa kama lile ghorofa linalojengwa karibu na Mlimani city, huku wakiwa na mapesa kibao kwenye fixed deposit accounts.

Jamani, lengo la msingi la hii mifuko ni kuwahudumia wafanyakazi hasa pale wanapostaafu walipwe mafao yao kwa wakati... Haya ya kuinvest ni mambo mazuri lakini inabidi yafuate baada ya kukamilika kwa mambo ya msingi.
Kucheleweshea wastaafu mafao wakati mnaendelea kuporomosha maghorofa sio jambo la kiungwana kabisa. Mwenyezi Mungu anawaona watu wa PPF na mifuko mingine yenye tabia na matendo yanayofanana na ya kwenu!

Investment portfolio


The investment limits as a percentage of total assets are as shown below;

  • Government debt (Treasury bills, Treasury bonds) - 20%-70%
  • Direct loans to the Government - 10%
  • Commercial paper, promissory notes and corporate bonds - 20%
  • Real Estate - 30%
  • Ordinary and Preference shares - 20%
  • Deposits with licensed banks and financial institutions - 35%
  • Investments in licensed Collective Investment Schemes - 30%
  • Loans to corporate and cooperative societies - 10%
  • Infrustructure Investment -25%
  • Fixed Deposit 35%
Uwekezaji
 

Forum statistics

Threads 1,273,052
Members 490,245
Posts 30,469,012