johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Tofautisha ubora na ukubwa!Unajua kuwa maelezo yako siyo kweli lakini hata kama ingekuwa ni kweli, unatakiwa kufahamu kuwa mwenye uchumi wa million 200 ukikua kwa 5%, na wewe mwenye uchumi wa milioni 50 ukikua kwa 10%; bado mwenye uchumi mkubwa, atakuwa amekutangulia.
Uchumi wa US ukikua kwa 0.1% bado utakuwa ni ukuaji mkubwa kuliko ukuaji wa 20% wa uchumi wa Tanzania.
Ukiona nchi inakuwa kwa haraka sana ki uchumi ujuwe bado haina maendelo, ipo katika kuendelea.Kwanza niwapongeze majirani zetu Kenya kwa sherehe nzuri za Madaraka Day na kwa namna wanavyopambana na ufisadi.
Lakini nimpongeze kipekee Rais Uhuru Kenyata kwa kubadilisha fedha ya Kenya kama njia ya kuwadhibiti mafisadi walioficha fedha majumbani mwao.
Ila sikubaliani na taarifa yao kuwa Kenya inaongoza Afrika mashariki kwa ukuaji wa uchumi ikiwa na ukuajiaji wa 6.3%.
Hii si kweli kwani Tanzania tumewashinda tukiwa na ukuaji wa 7%.
Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
Ni sawa lakini hapa tunaangalia rate!Base ya uchumi ya Kenya ni kubwa so in absolute terms uchumi wao umekuwa kuliko wetu
Uhalisia upi huo zaidi ya takwimu?7% kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu but kiuhalisia ni <4%
upishi+ubishi=serikali ya pombe
7% kwa mujibu wa Sheria ya Takwimu but kiuhalisia ni <4%
upishi+ubishi=serikali ya pombe
Mkuu hao ndio wasaliti wenyewe!KUA MZALENDO DOGO,MUDA BADO UPO.
Hatuangalii ukubwa wa uchumi bali rate ya ukuaji!GDP inasemaje maana hicho ndio kikubwa
Hahahaa....... Umeshapanic!Hahaha ndio maana anavurunda, kama washauri wake mnafikiria hivi, yeye atafikiria vipi?! Uchumi umedumaa.
Hivi hizi takwimu unajiamulia tu, au zinaweza kuhojiwa? Tuanzie hapo kwanza.KUA MZALENDO DOGO,MUDA BADO UPO.
Unawauliza wakenya?Hivi hizi takwimu unajiamulia tu, au zinaweza kuhojiwa? Tuanzie hapo kwanza.
Hawanihusu, nakuuliza wewe uliyeweka 7%Unawauliza wakenya?
Hahahaa...... Hiyo sijaweka mimi bali imethibitishwa na benki ya maendeleo Afrika. Msinune!Hawanihusu, nakuuliza wewe uliyeweka 7%
Hahaha hapana sijapa sijapanic nilihisi hata wewe hukuelewa ulichokiandika, au ulikosea nikashangaa ikiwa wewe huelewi itakuwaje mnayemshauri.Hahahaa....... Umeshapanic!