Inasemekana hata mwananyamala hospital ilijengwa juu ya makaburi ndio maana ile hospital pamoja na juhudi zote za kuiboresha lakini wahudumu wote kwa nyanja zote ni vichwa majinakumbuka niliwahi ingia skymark mall vingunguti kipindi inajengwa, yaani makaburi yapo kushoto mafundi wanajenga kulia tena yana misalaba kabisa sio kwamba hayaonekani
nenda ile stand ya daladala ya zamani ya arusha mjini pale usiku kuanzia saa 6 ujionee mambo ya ajabu.lile eneo nalo walihamisha makaburi
Najuta kwann nmeisoma hii mada saa hizi. Naogopa hatar.mshana jr hizi mada ziwe mda wa mchana. Sa hiz ntaota ndoto za kutisha jamanii
Angalia pesa wanazopata na maisha wanayoishi utawaonea huruma unaweza dhani kuna chuma ulete...kisha linganisha na wale wanaotega kwenye mahotel unaona kabisa neema kwenye nyuso zao hata maungoniSinza makaburini mbona wale madadapoa hawaheshimu makazi ya marehemu.?
Najuta kwann nmeisoma hii mada saa hizi. Naogopa hatar.
Mimi Tabia yangu huwa sishindani na mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa na wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatiti B Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maana sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.mshana jr umemfunika MziziMkavu siku hizi kwa habari za kiroho
Nimekumic mm bhana, ebu tuletee ya Vidonda vya Tumbo bhana watu huku mitaani wanatapeliwa na Herbal Clinics/Hospitali hawaponi.Mim Tabia yangu huw asishindanina mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa an wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatitib Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maan sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.
haya mkuu hongera kwa kazi njemaMim Tabia yangu huw asishindanina mtu katika kuweka Topic humu jamvini niko busy sasa an wagonjwa wa Ukimwi, wagonjwa wa Hepatitib Virus na wagonjwa wa Saratani ndio maan sijaweka siku nyingi Topic mpya. Nimemuachia Mkuu.@Mshana jr aendelee kuweka vitu vyake hongera.
Mkuu.@Bak usiogope Thread za mshana ni za kawaida tu hazitishi hivyo. Au kuna zinazo tisha Topic zake mkuu.@Mshana jr? nionyeshe nipate kuziona basi.Huo wa leo afadhali Mkuu, kuna mwingine aliuanzisha juzi sikumbuki jina lake. Nikajua tu ule uzi utakuwa unatisha nikaamua niufungue kulikuwa na mapiccha ya ajabu ajabu nikaachana nao haraka sana. Threads za mshana jr siku hizi naziangalia mara mbili mbili kabla ya kuamua nizipotezee au nizifungue.
Mkuu.@Bak usiogope Thread za mshana ni za kawaida tu hazitishi hivyo. Au kuna zinazo tisha Topic zake mkuu.@Mshana jr? nionyeshe nipate kuziona basi.