Si sahihi kufuta viboko shuleni ila ni muhimu kuwa makini wakati wa kuvitumia

Utaratibu wa utoaji adhabu za viboko uwekwe ili watoto wasiumizwe......tukisema tufute tutapotea sana tunatofautiana sana maadili kati yetu na watu wa nje hasa Ulaya na Marekani kule watoto wanalelewa kusema kweli kwa kila kitu ikiwemo kutubu lkn sisi huku mtoto anajifunza uongo wa kutokuukubali ukweli na kuukili sasa hapo utajilinganishaje na wazungu ambao kwao maadili ni suala la kawaida na linazingatiwa?
Sisi huku mtoto akiwa anaanza kuongea tu ashatukanwa matusi yote ya mbwa,mpumbavu hana akili na ya kufanana na hayo tena na mama yake? Maanake kafunzwa kutukana matusi atashindwaje kumtukana mwl mtoto kama huyu? Kwa wenzetu kwa wenzetu kutukana matusi hasa kwa mtoto mdogo ni nadra sana.......je hapo utasema tufute viboko,wakuu tuachenu mihemuko tujadili haya mambo kwa lengo la kuzalisha taifa lililobora na sio taifa mfu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTARATIBU NI HUU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni mvunja sheria.

kwaio wewe na watoto wako ndo mna maadili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
HAWA NI WAHUNI TU.

WANATAKA KULITUMIA JINA LA RAIS KUHALALISHA UHUNI WAO WA KUWAFANYIA WATOTO UKATILI.

MAGUFULI THIS, MAGUFULI THAT, MAGUFULI SAID THIS, MAGUFULI SAID THAT...

LEO HII RAIS MAGUFULI KAWA MZURI KWAO ILI AWAONEE HURUMA..

NCHI HAIONGOZWI KWA HURUMA NA HISANI, BALI SHERIA NA KANUNI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…