Si sahihi kufuta viboko shuleni ila ni muhimu kuwa makini wakati wa kuvitumia

Mwaka juzi nikiongea na rafiki yangu wa uingereza Linda Clarkson aliniambia kwamba amewahi kujitokea kufundisha Tanzania shule moja ipo kigoma,

Alichukia sana viboko shuleni mpaka kuwatisha wenye shule kwamba wakiendelea kuchapa wanafunzi ataacha kazi na atasitisha msaada mara moja kwa shule hiyo,

Akasema kumbe hakuwa sahihi kwa mawazo yale,

Anasema baada ya kukaa sana shule pale nika realize that African students without strokes , a're disrespectful, being late at school, they even over joke teachers during lesson hours while seriousness is needed,

They used to throw pieces of chalks at me while writing on board , when you ask they keep laughing, I decided to make investigation on whether other teachers experienced that situation, I found that those who cane, are respected 100% ,

Mwalimu huyo aliyewahi kujitolea akasema hata uingereza wanajuta kufuta kiboko maana nikadhani, nchi za ulaya hawajawah kumchapa mwanafunzi akasema miaka ya nyuma walikuwa wanachapa sana,
Walivyofuta watoto miaka ya 90 waka misbehave mpaka kuingia bungeni na kuwatandika wabunge vichwa, Bunge la uingereza wakasema ama walikosea wasingefuta kabisa viboko wangeleta njia ya kuvitumia kiusahihi,

Hata kwa Tanzania ukitaka kuharibu kizazi hiki futa viboko shuleni,
Mwanafunzi wa Tanzania hajielewi ukisema umpe adhabu ya kufyeka anafurahi maana hataki kuingia darasani,

Nyote ni mashahidi wanafunzi wamekuwa wakiomba walimu wasije ili waendelee kupiga kelele,

Wanafunzi baadhi boarding schools wanapenda umeme kukatika wasiingie darasani usiku, na saa nyingine kuweka chumvi kwenye generators za shule Ili zisiwake wakae nje,

Wanafunzi wanaopenda mwalimu asafiri wakae bila kusoma,

Adhabu pekee inayoogopwa n.a. wanafunzi wa afrika ni kiboko, maana haogopi kufeli kwamba kakosa kipindi kwa kufyeka, hasa ambao bado ni wadogi,

USHAURI AKA WALIMU

Tumieni viboko kwa utaratibu, utampigaje mwanafunzi kwa mpini?

Utampigaje mwanafunzi kichwani?

Utampigaje mwanafunzi viboko zaid ya 10?

Utampigaje mwanafunzi kama nyoka?

Walimu wabaya hutumia nafasi ya viboko shuleni kama kuwakomoa baadhi ya wanafunzi,,
Sasa uwepo utaratibu maalumu wa kuadhibu kwa kutumia viboko so kuvifuta

Sikia Magufuli analaumu kwanini wanafuta viboko shuleni

Tusikilize clip hii kwa yaliyomtokea mwanafunzi aliyekufa bukoba, amepigwa to sana sana sana kwa mipini,.Na kumnyofoa kucha kwa compass, hii haikubaliki,

Tunajua walimu wengi wa siku hizi hawana maadili wanavalia suruali chini ya makalio, waliwahi n.a. wengine bado wanavuta bangi, hawajazaa hawana uchungu, wana visirani, wanataka waonekane wanajua kupiga kushindana,

Utaratibu wa utoaji adhabu za viboko uwekwe ili watoto wasiumizwe......tukisema tufute tutapotea sana tunatofautiana sana maadili kati yetu na watu wa nje hasa Ulaya na Marekani kule watoto wanalelewa kusema kweli kwa kila kitu ikiwemo kutubu lkn sisi huku mtoto anajifunza uongo wa kutokuukubali ukweli na kuukili sasa hapo utajilinganishaje na wazungu ambao kwao maadili ni suala la kawaida na linazingatiwa?
Sisi huku mtoto akiwa anaanza kuongea tu ashatukanwa matusi yote ya mbwa,mpumbavu hana akili na ya kufanana na hayo tena na mama yake? Maanake kafunzwa kutukana matusi atashindwaje kumtukana mwl mtoto kama huyu? Kwa wenzetu kwa wenzetu kutukana matusi hasa kwa mtoto mdogo ni nadra sana.......je hapo utasema tufute viboko,wakuu tuachenu mihemuko tujadili haya mambo kwa lengo la kuzalisha taifa lililobora na sio taifa mfu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTARATIBU NI HUU...
IMG_20180903_000639.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni mvunja sheria.

kwaio wewe na watoto wako ndo mna maadili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
HAWA NI WAHUNI TU.

WANATAKA KULITUMIA JINA LA RAIS KUHALALISHA UHUNI WAO WA KUWAFANYIA WATOTO UKATILI.

MAGUFULI THIS, MAGUFULI THAT, MAGUFULI SAID THIS, MAGUFULI SAID THAT...

LEO HII RAIS MAGUFULI KAWA MZURI KWAO ILI AWAONEE HURUMA..

NCHI HAIONGOZWI KWA HURUMA NA HISANI, BALI SHERIA NA KANUNI...
IMG_20180903_000639.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom