si mzima huyu????

beibe nasty

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
1,640
Reaction score
525
eti mtu katongoza kakataliwa anaanza mpondea rafiki yake coz anahis atampindua sasa nilichomjibu nika mwambia sina mpango na mtajijua wenyew eti kamaind anaanza leta mineno yenye shombo mi nadhan si mzima huyu halafu waajabu.aludhan hapa kitongaaeeh shenz zake
 
kila anayetongoza akileta humu, dah itakuwa laa.
 
Njoo ujitulize kwangu baby girl uone ulimwengu ambao haujawahi fika.
 
So wewe umeridhika,ama umempenda tu huyo mwingine@ baibe nasty
 
tehe!...walitaka kumuotesha moto mtt wa plastic...imekulaje kwao.. beibe nasty umetisha...kwa iyo mtu na mshkaji wake walitaka kupiga mambo sio?

ukatupa kule wote!habari yao binafsi bana...beib ww mkaree!..peleka kule MMU kuna washabiki wa hii makitu...ila ujue watakuvua nguo zote!
 
Last edited by a moderator:

Bagha mi sipendi unafki hasa mtu kunichora we nchane tumalizane bt playin a dirty game sina mda coz iam a gud player too if iwant to bt dnt see da reason n majamaa wamechemka sasa mmoja ndo kajikaanga.mmu kule napaelewa si unajua watu sio wote wazima ahaahha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…