Si muda mrefu kutoka sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Si muda mrefu kutoka sasa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mansakankanmusa, Sep 14, 2012.

 1. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  wakuu habarini, ninampango wa kuanza kuishi na mke wangu,

  nilioa muda yapata miaka 5 iliyopita, maisha yalikuwa ya

  kusoma na tulikuwa tukionana mara mbili hadi tatu kwa mwaka, yaani nyakati za likizo

  wakati wa likizo tukitekeleza tendo mwezi mzima, wiki mbili au hata wiki moja tu, ilitegemea

  na likizo yenyewe.

  sina hakika kama yupo amabae ninasaidiana nae kula tunda langu, lakini nalionaga tamu sana

  kwa vile labda nakula kwa misimu ya mwaka, sasa nataka liwe tamu na mke wangu aone alikuwa

  anamiss vitu vitamu kwangu..binafsi najiona sina jipya, na atanichoka haraka, naomba nipate ujuzi wenu

  wale waliodumu kwenye ndoa zao kwa muda wa kutosha. Ikiwa ni pamoja na tendo, naomba nipate

  ushauri katika maisha ya ndoa ya kila siku.

  naomba hekima zenu. watoto wa shul/chuo marufuku kutoa balekhe zenu hapa.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Haya gfsonwin na snowhite mnaitwa hapa mtoe mavitu yenu ya mifyonzo.

  Ushauri wangu, ni be yourselves.

  Usijaribu kumbadilisha mwenzio, capitalize kwenye mazuri yake na yaboreshe mapungufu yake bila kumfanya aone anayo hayo mapungufu.

  Msifanye vitu kwa mazoea, dumisheni ubunifu na mkumbuke hakuna matusi wala taboo btn you two.

  Muwe each others washauri, the only third person kwenye mahusiano yenu ni Mungu tu.

  Kila mtu ajaribu kumtendea mwenzake kile ambacho angependa yeye kutendewa; dont expect a lot from your partner but rather dedicate a lot to your partner (heri mkono utoao kuliko upokeao)

  maisha yenu ni yenu, ndugu wana nafasi mtakayowapangia ninyi na si watakayowapangia ninyi.

  Mnawajibika kwanza kwa watoto mliowaleta duniani, then wazazi na wanaofuatia ni ndugu na society.

  Mwisho msikubali kugawana umasikini, kama mnacho kidogo badala ya kukitawanya kwenye ukoo, chagueni walau mtu mmoja mumuendeleze kielimu ili naye aje asaidie mmoja; lkn mkisaidia wengi mwisho wa siku wote mtabaki pale pale.

  Ni hayo tu, ngoja wengine waongezee au kuboresha pale nilipoacha mapungufu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Haya bwana tutapeleka balehe zetu FB
   
 4. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  this game got no rule,unavyocheza ndio kanuni zake za kucheza,ukicheza kwa kanuni zako mambo yakienda kombo hutakuwa na wa kumlaumu,ukicheza kwa kanuni za bishanga ukiharibikiwa utamuona bishanga nuksi,ukifuata kanuni za mc tilly chizenga siku ukija gundua zigo lako lilikuwa linaliwa utajuta kwanini you played this game fairly!

  wanaoitwa washauri wazuri wa mapenzi wengi wao ndoa zao ziko shagalabaghala,wengine hawana kabisa,its complicated thing.

  haya sasa pokea ushauri toka kwa wadau huku kichwani mwako ukiyajua hayo niliyokueleza
   
 5. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Vijana ndiyo watundu halafu hutaki mawazo yao, Duu...kwa vile umekataza kuchangia....me nasema kwa mbali huku nikiondoka kwa sababu umenikataza kusema jukwaani:
  Cha kwanza Msifie alivyo navyo..km mguu, macho, n.k
  Msifie chakula kizuri, mavazi mazuri,,,,
  Mtoe out weeknd moja moja, beach...
  mpe zawadi za suprize...quality....
  ukiamka siku moja moja mpige kiss....
  siku zingine ondoka na mtoto wako halafu ukatembee naye huko halafu mnarudi mko fulu...
  siku zingine pika chakula halafu uone atasemaje....
  mwogeshe siku zingine...
  mkate kucha, jifanye unamfuta uso siku zingine huku ukitabasamu...
  mpeleke saloon.....
  mpe uhakika wa ulinzi ....ajisikie yupo salama...kwa mfano unamwachia simu yako anacheza gemu akipiga mtu yeyote anapokea bila wasiwasi.....
  mpigie simu wakati wa kula....wakati wa chai nk
  mwambie unampenda ukimaanisha......
  peleka mtoto saloon....msikilize akiwa anataka kuongea....
  saa zingine mnakosea...mwanamke anapoongea shida zake hataki utatuzi isipokuwa anataka kusikilizwa na kushare feelings,,,,so unamkumbatia na kumliwaza halafu unamwambia basi yamekwisha
  mnunulie nguo nzuri na perfume nzuri....
  UMUAMINI 100% KWANI SI UPO TAYARI KUFA NAYE......
  Samahani naomba niondoke nawahi kufanya Maandalizi ya Fiesta na Washkaji,
  ukishindwa kumbeba shauri yako..........................................................
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Endelea kumpenda, kumjali, kumthamini, kumheshimu, msikilize, mshirikishane kwenye mambo yenu na usisahau kupata wasaa wa kutoka naye out, japo mara moja moja kwa kadiri utakavyopata muda. Yale mengine ya ndoa, sijui tunakushaurije maana jukwaa hili watoto nao wanakatiza katiza, Lol!
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Kuwa natural ni mke wako usijifake... Na yeye naamini awe alivo. Amini nakwambia kama mmeweza tunza penzi lenu kwa amani kabisa kwa long distance kiasi kwamba hapa wajihoji (kama mwanaume) kwa wasi wasi kama unaweza kidhi vile atakavo IMO ni dalili tosha kuwa all will be well and good hasa kama nae hajaonesha hiana yoyote.

  Kila la kheri katika hio ndo yako na usisahau kumhusisha Mungu awawezeshe kwa hilo.
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Punguza presha!!!!!! Ndege wako mwenyewe manati ya nini!!!!!!!!!!!!! Jilie vyko taratibuuuuuuuu!
   
 9. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Im humbled!nakuja shosti ngoja niboreshe hii yangu kwanza kwa kumuandalia mume chakula then ntareje!
   
 10. wehoodie

  wehoodie JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 784
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 80
  Ok
  Anza na kuonyesha unamthamini na yeye ni top kwenye agenda yako- hapa mpe time ya kutosha, toka nae outing mwanana, mnunulie zawadi zawadi

  Msupport na kumsaidia kwenye mambo yake heheheh hata kupika ni usaidizi...lol

  Msifie akipendeza na kufanya mambo mazuri etc mapishi, mavazi, nywele usafi wa nyumba etc...

  Kwenye 7x8....
  Hapa kabla ya kusikiliza hadithi za watu na watu wao hebu chukua muda wako ujielimishe kuhusu female sexuality kuanzia anatomy ya huku deep south, posture mwanana na mengineo...

  Unaweza pia ongeza manjonjo kwa kutoa surprisa za kupiga deki huko katika kuta za labia na katika mlima kleetoria....

  Unaweza ukaexplore kama Columbus mpaka uwe unakifikia kitufe G angalau kukipa salamu mara moja moja.....

  Usisahau kubadili venue mara kwa mara...pia vitu vidogo vidogo kama pre-match jogging ni muhimu....

  Hayo ni machache tu..kama yote haya ni mapya basi nenda kidogo kidogo usijeonekana umetumika sana ulipotoka....
   
 11. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngoja boflo aje usikie hekima zake
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,093
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  haya bana mkuu
   
Loading...