Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,280
- 13,708
Makamanda mlisema ICC wanakuja, najiuliza wanatumia Usafiri wa Punda? Kila nikiingia mtandaoni sioni kama wamefika au laa!
Makamanda hebu tuliweke sawa hili jambo lipo au ni Chai tuu maana hata Dada mange naona haliongelei sana siku hizi kulikoni?
Makamanda hebu tuliweke sawa hili jambo lipo au ni Chai tuu maana hata Dada mange naona haliongelei sana siku hizi kulikoni?