bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,184
- 20,080
Na wewe umebatizwa? 😁😁😁
We unayo
Huyu mbona Cha mtoto..
Wakati tupo mafundisho ya komunio ya kwanza kulikuwa sister jeniroza..sister hatareee ..akitembea wavulana walikuwa wanaimba singida dodoma alafu kasauti kadogo..akicheka hizo dimpo Sasa..ila alikuwa anafinya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia leo nawatumbua mods wote!