Si "mchezo" tena, umeshabaki ni ugomvi!

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,734
1,778
Salaama wadau

Kile ambacho kina mama wanakiita mchezo, yaani kuwekeza hela, katika baadhi ya familia sasa imekuwa Ugomvi!

Leo mtaani kwangu hapa ilikuwa pata shika!

Nilikuwa napita tu, nikasikia eti "kila ninapotoa hela ya matumizi haitoshi, hata baada ya watoto kwenda shule haitoshi tu! we mama (fulani) vipi?
yaani hakuna kiwango kinachotosha, kwa vyoyote utasikia, nimeishiwa hela, ila sijanunua mboga za majani!"


Nilipoisikia tu hiyo! Ah kumbeee..!
na kwa jamaa yapo hayo...
sasa mi nauliza hawa wanake vipi
Mbona wanawageuza waume zao ATM?

Labda wenzangu nyie huko mlipo ni swalama!
 
Back
Top Bottom