Si Marekani wala Urusi wala China

Si Marekani wala Urusi wala China

Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
Wewe bana ebu kajifunze zaidi au fatilia ukweli alafu ndoo urud umu na uzi wa maana sio kutuletea mambo ya radicals fanatics news humu eboo wee Vip ati
 
Wewe mleta uzi unaonyesha mdini mnoo alafu uko disconnected from the reality.. Au umedata lazima hakuna unacho juwa wewe ama kutambuwa zaidi ya brainwashed and extremely.. Hufai kabisa yaani.. Radicalism it sounds wewe....your more Christians kulikoni hata biblia..
 
siku mkijua kuwa kunatofauti kubwa sana kati ya myahudi na muisrael wa Leo mtaelewa NINI KINAENDELEA HAPO
KWA KIFUPI MODERN ISRAEL IS A SATELLITE STATE OF AMERICA IN THE MIDDLE EAST ISRAEL ANALINDA NA KUHAKISHA MASILAHI YA KIUCHUMI YA MAGHARIBI YANALINDWA.....Kumbuka uchumi wa dunia unaendeshwa na mafuta
ULISHAWAHI KUJIULIZA NI KWA NINI TAIFA HILI LILIPENDEKEZWA KUUNDWA SEHEMU TATU
1.PALESTINE
2.UGANDA
3.ARGENTINE
lakini badaye Likaundwa Palestine
hii ni zaidi ya mihemko ya kidini
KEEP IN MIND HAWA MUNAOITA WAISRAEL SIO WAKRISTO,SI WAISLAM NA TENA SI WAYAHUDI KIDINI
most of them are atheist and druze
 
Hapa mtabishana sana bila kupata muafaka.Hii thread imeshaekwa kidini
kifupi hakuna muislam anayeipenda israel vilevile hakuna mkristo anayeipenda waarabu.
Hata mtu akiweka fact za kueleweka wapo wanazi wataendelea kubisha.
 
Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
Ni kweli kabisa
 
Israel ndiyo nchi inayo ongoza kuwa na tecn kubwa dunia kuizidi nchi yeyote,

Israel uchumi wake hauwezi kumwezesha kutengeneza ndege au vifaa vya kijeshi vinavyo hitaji bajeti kubwa, akivumbua techn mpya ya kijeshi anamuuzia marekani, mfano hizo ndege ulizo ziorodhesha hapo juu, ni techn ya Israel, Marekan anainunu wanatengeneza kwa hela zake halafu wanakuja kumuuzia Israel,

Hizo ndege kama hiyo F-15, ikisha fika Israel itaenda kubadilishwa techn yote, mfumo mzima unabadilishwa na kuiboresha, F-15 iliyopo israel na f-15 hiyo hiyo ikiwa Marekani hazifanani kitechnologia

ulisha wahi kujiuliza kwanini Marekani anailinda Israel kuliko kitu chochote?

Bila Israel hakuna Marekani, Marekani inaendeshwa na Waisrael, Marekani anamuhitaji Israel kuliko Israel anavyo muhitaji Marekani...
Kwanini amodify vilivyokwishatengenezwa asitengeneze vyake?
Kule u germany kuna kiwanda cha kupimp magari.
Yani unaenda mfano unanunua benz au gari lolote unalipeleka pale wanalifumua kuanzia engine mifumo ya break na kadhalika.
Wanaliongeza power ya engine kwa kuongeza upanda wa cylinder, air intake na fuel intake linakuwa na more horse power more speed n.k.
Wanakifunga system mpya ya break na mambo mengine.
Je utasema hicho kiwanda kina technology kubwa kuliko Benz waliotengeneza hilo gari?
Na kama ndiyo hivyo kwanini Marekani hatumii ndege zilizo modified na Israel kama anamtegenea kiteknolojia?
 
Sio kweli kabisa yaani mmmhh.. Israel is American Base ktk Mashariki ya Kati silaha zote anazo tumia ni made USA
Sio zote buana,kuna baadhi ya silaha ni za kwao mfano Uzigun ni muisrael yule,mfano vifaru vya M1 Abram ni mkono wa muisrae
l
da66c3e405c9b238f2ca51310c813656.jpg
 
Mkuu hizo story tu! mtu ukiwa na technology yako gharama za kutengeneza kitu zinaweza kuwa ndogo zaidi hamna taifa lisilohitaji kuwa na uwezo wake binafsi--kama wangekuwa na uwezo wa kugundua technologia mbalimbali wangetumia uwezo huo toka miaka hiyo kutengeneza vitu vyao wenyewe
Haujui kufikiri sahihi,hivi ni vitu vingapi makampuni ya marekani yanampa mchina chini ya viwango wanavyotaka azalishe?gjarama za uzalishaji zinatofautiana mahali kwa mahali,zipo baiskeli ni made in China lkn designed in USA,zipo simu ni made in hong Cong lkn designed in jerman,
Hebu tumieni vizuri ubongo wenu,marekani katengeneza ndege kwa ubora wake anaoamini,wananunua waisraeli hizo hizo bora lkn wanazikarabati na kuzibadiri tech,sasa jiulize unawezaje kubadili kitu bora km we we si mbora kuliko wenye kitu?
Ama wanabadili kutoka ubora kuja ubovu na siyo ubora kuja ubora zaidi?
Nn maana ya kuboresha,unaboreshaje km haujui zaidi ya unachoboresha?
 
Tatizo ni kwamba watu wengi wanapenda kuioverrate Israel.
Linapo kuja swala la technology Israel ni wakawaida tu.
Lakini ndani ya Israel kuna wayahudi ambao ni race ambayo ina ushawishi Mkubwa sana duniani na katika mataifa makubwa.
Wayahudi ndio wanao control monetary system ikiwemo worldbank na ndio wana miliki karibia 98% ya media duniani.
Hawa jamaa kila kiongozi alie jua udhalimu wao na kujaribu kwenda against nao walihakikisha wana mmaliza.
Mf...Lincolin,Hitler,JFK etc.
Linapo kuja swala la technology hawa jamaa hawana historia ya kua miongoni mwa wagunduzi na wafikiriaji major discoveries zilifanywa na watu wa Misri,Persia,ugiriki nk.
Hawa jamaa wao walikua ni nomadic pastorarists.
Sasa leo kusema wao ndio wenye tech kubwa duniani huo ubongo wameutoa wapi!?!?
 
Sio zote buana,kuna baadhi ya silaha ni za kwao mfano Uzigun ni muisrael yule,mfano vifaru vya M1 Abram ni mkono wa muisrae
l
da66c3e405c9b238f2ca51310c813656.jpg
Mbona kawaida hata Iran kuna silaha anatengeneza mwenyewe labda ungesema hicho ni kifaru bora kuliko vyote
 
Haujui kufikiri sahihi,hivi ni vitu vingapi makampuni ya marekani yanampa mchina chini ya viwango wanavyotaka azalishe?gjarama za uzalishaji zinatofautiana mahali kwa mahali,zipo baiskeli ni made in China lkn designed in USA,zipo simu ni made in hong Cong lkn designed in jerman,
Hebu tumieni vizuri ubongo wenu,marekani katengeneza ndege kwa ubora wake anaoamini,wananunua waisraeli hizo hizo bora lkn wanazikarabati na kuzibadiri tech,sasa jiulize unawezaje kubadili kitu bora km we we si mbora kuliko wenye kitu?
Ama wanabadili kutoka ubora kuja ubovu na siyo ubora kuja ubora zaidi?
Nn maana ya kuboresha,unaboreshaje km haujui zaidi ya unachoboresha?
Maanake designed in USA made au assembled in china ni kwamba telnolojia ya Mmarekani lakini cheap labour iko china.
Sasa huwezi kuniambia eti MuIsrael akatafute cheap labour USA hiyo haiwezibkuwa kweli maana labour Marekani ni gharama.
Na nitajie basi hiyo ya Designed in Israel assembled au made in USA.
Hata hizo f-15 ni designed and made in USA anazichukua huko huko kama anaamua kuzimodify atajua mwenyewe lakini hakuzi design mwenyewe.
 
Ushahid wa unayo ongea?
Iko hv kabila au utaifa duniani ambao umechukua Nobel prize nying ni Israeli au wa Israeli. Lkn ukija upande wa jeshi hamna kitu. Ili huwe na jeshi kubwa lenye nguvu cha Kwanza ni pesa au uchumi.

Jeshi ni investment km unavyofanya kweny Mirad mingne na ndo maana unaona nchi nyng zenye jeshi la kujitosheleja kitekinologia na nguvu ni nchi zenye uchumi mkubwa duniani.

So Israeli napingana na ww hapo mzee labda uje na Ushahid kuntu
Sio kweli mbona uchumi wa Urusi ni wa kawaida sana, anapitwa kiuchumi hadi na south Korea, kwenye nchi zenye uchumi mkubwa dunia urusi ni ya 12 lkn nchi zenye nguvu za kijeshi dunia urusi ni ya pili
 
Ungesema Israel ndo mabigwa wa fitna duniani ningekuelewa sana yaani
 
Kwanini amodify vilivyokwishatengenezwa asitengeneze vyake?
Kule u germany kuna kiwanda cha kupimp magari.
Yani unaenda mfano unanunua benz au gari lolote unalipeleka pale wanalifumua kuanzia engine mifumo ya break na kadhalika.
Wanaliongeza power ya engine kwa kuongeza upanda wa cylinder, air intake na fuel intake linakuwa na more horse power more speed n.k.
Wanakifunga system mpya ya break na mambo mengine.
Je utasema hicho kiwanda kina technology kubwa kuliko Benz waliotengeneza hilo gari?
Na kama ndiyo hivyo kwanini Marekani hatumii ndege zilizo modified na Israel kama anamtegenea kiteknolojia?
Mkuu sasa wa modify vipi wakati nimekwambiabajeti yao, ni ndogo wao wanawauzia tech Wamarekani...

Lengo kubwa la wa Israel kutengeneza mfumo wao ni kwaajili ya kuimarisha ulinzi,

Israel haitengenezi ndege, Israel Air Industry inatarajiwa kuwa Kampuni
Itakayoongoaza kibiashara baada ya Kupata Tenda kubwa ya Kutengeneza Mabaya ya Ndege za Kimarekani aina ya Boeing na Lockeheed Martin Israel inaaminika kwa kuteneneza Mabawa ya Ndege Mathubuti Duniani,
 
Kutengeneza mabawa hakuifanyi kuwa na teknolojia inayoongoza, hivi wakua kampuni ya rolls royce ni moja ya kampuni inayotengeneza jet engines za boeing? Je kunaifanya UK Kuongoza ki telnolojia?
Na mbona uchumi wa Urusi ni wa kawaida unazidiwa hata na baadhi ya majimbo ya Marekani, lakini still anatengeneza vitu vyake mwenyewe?
Kwahiyo hoja yako ya uchumi haina mashiko
 
Back
Top Bottom