Si Marekani wala Urusi wala China

Si Marekani wala Urusi wala China

Mkuu hizo story tu! mtu ukiwa na technology yako gharama za kutengeneza kitu zinaweza kuwa ndogo zaidi hamna taifa lisilohitaji kuwa na uwezo wake binafsi--kama wangekuwa na uwezo wa kugundua technologia mbalimbali wangetumia uwezo huo toka miaka hiyo kutengeneza vitu vyao wenyewe
Mkuu unajidanganya, kuwa na tech siyo kuwa hela inapungua kwenye kutengeneza ndege zako kuna kufanya research, ni lazma uwe na uchumi unao eleweka israel nchi ndogo sana
 
Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
The most technological country in ze world is Japan....na waliona mbali kuiwekea vikwazo vya kujiendeleza kijeshi otherwse angekuja kufanya revenge isiyo tarajiwa duniani.
 
Hizi story za kijiweni ngoja nitoke job niisome vizuri hii
 
Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
Kwa kuwa una uhakika na ukisemacho, tunaomba data zilizokamilika kuthibitisha hoja yako
 
Hizi story za kahawa na kashata.
Marekani kila mara anampa msaada Israel wa vifaa vya kijeshi ambapo Israel anavitumia hivyo hivyo au anavimodify.
Eti Israel iko kimya, sasa kama iko kimya wewe umejuaje kuhusu uwezo wake?
Ebu tutajie hizo teknolojia ambazo Marekani anategemea?
Najua utaanza taja wayahudi walioko Marekani ambao wameshiriki au kugundua vitu wakiwa kama raia wa Marekani.
Usisahau Marekani imejumuisha watu wa mataifa mbalimbali pia kuna wanasayansi kule ambao wamegundua vitu vingi chimbuko lao ni china, india, germany, africa, russia etc
umesemema,lakini na uasili wao(sema kidogo,please tuambie kwa uasili wao(race/jamii)
 
Mimi nafikiri tungejiuliza kwanza kwanini waisrael wamechagua lugha tatu za taifa ambazo ni kiebrania,kiarabu na kirussia. Kwanin isiwe kienglish na kiebrania?
 
Israel ndiyo nchi inayo ongoza kuwa na tecn kubwa dunia kuizidi nchi yeyote,

Israel uchumi wake hauwezi kumwezesha kutengeneza ndege au vifaa vya kijeshi vinavyo hitaji bajeti kubwa, akivumbua techn mpya ya kijeshi anamuuzia marekani, mfano hizo ndege ulizo ziorodhesha hapo juu, ni techn ya Israel, Marekan anainunu wanatengeneza kwa hela zake halafu wanakuja kumuuzia Israel,

Hizo ndege kama hiyo F-15, ikisha fika Israel itaenda kubadilishwa techn yote, mfumo mzima unabadilishwa na kuiboresha, F-15 iliyopo israel na f-15 hiyo hiyo ikiwa Marekani hazifanani kitechnologia

ulisha wahi kujiuliza kwanini Marekani anailinda Israel kuliko kitu chochote?

Bila Israel hakuna Marekani, Marekani inaendeshwa na Waisrael, Marekani anamuhitaji Israel kuliko Israel anavyo muhitaji Marekani...
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
 
Wengi wetu tunajua kuwa mataifa yenye nguvu na teknolojia za kijeshi na kivita ni Marekani,Urusi na China! ila ukweli wengi mtakubaliana nami kuwa taifa lenye teknolojia kubwa zaidi duniani ni Israel! hili ni taifa ambalo lipo kimya sana lakini hakuna awezaye kujikanyaga! wengi mtakubali kuwa Marekani anategemea teknolojia za vita kutoka Israel ndo kinachompa nguvu na jeuri kubwa!
Toa ushahidi khs hilo
 
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
Huu ndiyo ukweli kabisa.
Israel anamaaidia Marekani kucontrol middle East na ndiyo maana ni mshirika wake mkubwa na yuko tayari kumwaga fedha na silaha kwa Israel kutimiza hilo.
 
Hezbolla ndio muarobaini wa israel
Huyu Hezbola ni nani? Ni nchi gani pale masahariki ya kati. Kila nikiangalia ramani mimi sioni Nchi inaitwa Hezbola. Isije ikawa ni kikundi cha kigaidi kama ilivyo Boko Haram, Al-Shabab, ISIS na wengineo. Tusije tukawa tunakuja huku kwenye platform ya great thinkers na mawazo ya kishabiki tu kuonesha jinsi tulivyo na ubongo mdogo.
 
Kaka Marekani anamuhitaji Israel sio sababu ya technology ila kwa sababu ya kuweza ku control middle east tu. Hakuna kingine.
Mkuu bado unarudia mule mule, pale Israel technologia ya ulinzi iliyopo pale siyo ya kawaida ndiyo inayo wawezesha kuwa safe, ndiyo maana nikasema hamna nchi yenye techn za juu kama Israel, kama isingekuwa hivyo, Wapalestina&co ungekuta walisha ifuta Israel
 
Israel ndiyo nchi inayo ongoza kuwa na tecn kubwa dunia kuizidi nchi yeyote,

Israel uchumi wake hauwezi kumwezesha kutengeneza ndege au vifaa vya kijeshi vinavyo hitaji bajeti kubwa, akivumbua techn mpya ya kijeshi anamuuzia marekani, mfano hizo ndege ulizo ziorodhesha hapo juu, ni techn ya Israel, Marekan anainunu wanatengeneza kwa hela zake halafu wanakuja kumuuzia Israel,

Hizo ndege kama hiyo F-15, ikisha fika Israel itaenda kubadilishwa techn yote, mfumo mzima unabadilishwa na kuiboresha, F-15 iliyopo israel na f-15 hiyo hiyo ikiwa Marekani hazifanani kitechnologia

ulisha wahi kujiuliza kwanini Marekani anailinda Israel kuliko kitu chochote?

Bila Israel hakuna Marekani, Marekani inaendeshwa na Waisrael, Marekani anamuhitaji Israel kuliko Israel anavyo muhitaji Marekani...
Porojo Za maskani.
 
Sio kweli kabisa yaani mmmhh.. Israel is American Base ktk Mashariki ya Kati silaha zote anazo tumia ni made USA
 
Mkuu bado unarudia mule mule, pale Israel technologia ya ulinzi iliyopo pale siyo ya kawaida ndiyo inayo wawezesha kuwa safe, ndiyo maana nikasema hamna nchi yenye techn za juu kama Israel, kama isingekuwa hivyo, Wapalestina&co ungekuta walisha ifuta Israel
israel ni kambi ya jeshi la marekani iliyoko uarabuni .

Angelia hapa ISRAEL ikipewa msaada wa kijeshi dola za kimarekani bilioni 38 kutoka MAREKANI

Back
Top Bottom