SeiphuJazari
Member
- Sep 7, 2017
- 27
- 15
Propaganda za wa magharibi ivi ninani mwenye akili timamu anaye weza kusema vimajimbo vya America vinaizid Russia kwa uchumi rudii school!!!!
Unachokisema ni kweli,hata maisha ya kawaida tu unaweza ukawa na wazo zuri la biashara lakini hauna mtaji(pesa). Ni ngumu kufanya biashara. Kwahiyo ninaona Marekani na Israel wote wanategemeana.Mkuu unajidanganya, kuwa na tech siyo kuwa hela inapungua kwenye kutengeneza ndege zako kuna kufanya research, ni lazma uwe na uchumi unao eleweka israel nchi ndogo sana
Ungesema Israel ndo mabigwa wa fitna duniani ningekuelewa sana yaani
Hawa ndio maprofesa uchwara uchumi wao upo kwenye makarasi tuuPropaganda za wa magharibi ivi ninani mwenye akili timamu anaye weza kusema vimajimbo vya America vinaizid Russia kwa uchumi rudii school!!!!