Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,160
Miaka kadhaa iliyopita, niliuguza kidonda cha kung'atwa, leo aliyening'ata nimekutana naye kanisani tukataniana kuhusu lile tukio. Acha niwape kisomo kidogo na niwakumbushe namna ya kufurahishana bila kuumizana.
Kama na wewe ulishawahi kuumia au kuumizwa kwenye harakati za kujilia chakula cha wakubwa. Tuambie Ilikuwaje, tujifunze.
*****
For educational purpose only / kwa ajili ya elimu tu 😅 😎 (nitajaribu kutumia tafsida)
******
Wanaume, kwenye maandalizi ya kukulana, ukiamua kuanza na matunda halafu ukafika section ya maembe dodo, tafadhali zingatia hayo ni ya kufyonza na kula kwa ulimi tu na siyo kung’ata kwa nguvu na meno.
Yale maembe ni malaini na utamu wake unaweza kukunogea ukaanza kupagawa kidogo. Ikitokea mwenzako amekuomba uling’ate dodo lake au ukijisikia mwenyewe kuling'ata kidogo, basi kuwa gentle, ng’ata taratibu. Kama unakula dodo na mdomo huku unaichakata ukiwa unapanda mlima kuelekea Uhuru peak, ukikaribia kumaliza safari, tafadhali litoe dodo mdomoni, maana furaha ya kukifikia kilele inaweza kupelekea kumuumiza mwenzako (mie niliumiziwa hapo 🤭😅). Ustadi wako wa kulila dodo na mdomo au na mkono au vyote kwa pamoja unaweza kumshibisha mwanawake mpaka akacheua kwa raha

kabla hata hajakupakulia msosi wenyewe wenyewe.
MUHIMU KULIKO YOTE: Kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya kula, ukishatengewa ule mnofu wa nyama, pembeni yake kwa juu huwa kuna kaharage ka kuongeza ladha, ni busara sana kukala. Kama huwezi kula na mdomo na ulimi basi kula taratibu kwa mkono (vidole).
Kama hujui kipimo cha spidi ya kujilia, jaribu kuwaza (kuimagine) lile ni jicho linawasha na unapekecha kuondoa muwasho, hata kama jicho lako limekazana kuwasha, utajikuna kwa nguvu kiasi ila kwa umakini wa hali ya juu ili usijiumize. Basi kwenye kula kile kiharage tumia umakini, spidi, nguvu na akili ile ile ambayo ungetumia kulikuna jicho lako.
SOMO LA LEO: Jitahidi kuwa gentle / mtaratibu kwenye maeneo sensitive na tumia nguvu kule chini ambapo spidi inahitajika. Tabia yo kumaliza kula, ukamuachia mwenzako kazi ya kuuguza vidonda siyo poa.
Ni hayo tu, jumapili njema!
Kama na wewe ulishawahi kuumia au kuumizwa kwenye harakati za kujilia chakula cha wakubwa. Tuambie Ilikuwaje, tujifunze.
*****
For educational purpose only / kwa ajili ya elimu tu 😅 😎 (nitajaribu kutumia tafsida)
******
Wanaume, kwenye maandalizi ya kukulana, ukiamua kuanza na matunda halafu ukafika section ya maembe dodo, tafadhali zingatia hayo ni ya kufyonza na kula kwa ulimi tu na siyo kung’ata kwa nguvu na meno.
Yale maembe ni malaini na utamu wake unaweza kukunogea ukaanza kupagawa kidogo. Ikitokea mwenzako amekuomba uling’ate dodo lake au ukijisikia mwenyewe kuling'ata kidogo, basi kuwa gentle, ng’ata taratibu. Kama unakula dodo na mdomo huku unaichakata ukiwa unapanda mlima kuelekea Uhuru peak, ukikaribia kumaliza safari, tafadhali litoe dodo mdomoni, maana furaha ya kukifikia kilele inaweza kupelekea kumuumiza mwenzako (mie niliumiziwa hapo 🤭😅). Ustadi wako wa kulila dodo na mdomo au na mkono au vyote kwa pamoja unaweza kumshibisha mwanawake mpaka akacheua kwa raha

kabla hata hajakupakulia msosi wenyewe wenyewe.MUHIMU KULIKO YOTE: Kwenye hatua za mwisho za maandalizi ya kula, ukishatengewa ule mnofu wa nyama, pembeni yake kwa juu huwa kuna kaharage ka kuongeza ladha, ni busara sana kukala. Kama huwezi kula na mdomo na ulimi basi kula taratibu kwa mkono (vidole).