Si kwa upimaji huu Maputo!!!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,573
Jamani,kwani huko hospitali wanapimaje?Nimejikuta ghafla nakumbuka zoezi la kuinikwa!!!!
Lakini kama mtu ana chuki na mtu fulani si anaweza kutuma ujumbe kumtaja ili apitie msaala wa kupimwa!!!Inaonekana hata kama puto liko fresh,kitendo cha kupimwa kinaenda kuvunja vunja centre bolt!!!
 
VIWONDER
 
Acheni kulishwa story na Mange Kima.vi, kwani wapi kwenye hiyo clip yako wamezungumzia vipimo!!?? Huyo ana maumivu yake na hata kama ingekuwa vipimo sawa tu sababu mamabo ya kisheria hayaendi kama mtakavyo nyinyi, lazima kuwe na ushahidi usio na mashaka so ushahidi pekee wa uhakika na vipimo vya kisayansi.
Binafsi ningekuwa na mamlaka huyo mama angeozea jela, ametuharibia watoto kwa upumbavu wake.
 
Umesikilizia makalioni au?Rudia tena kusikiliza!!
Unaonaje wananchi wote wapimwe ili watakaokutwa walishazibuliwa wafungwe na mtaani wabaki watu safi!!@
 
Umesikilizia makalioni au?Rudia tena kusikiliza!!
Unaonaje wananchi wote wapimwe ili watakaokutwa walishazibuliwa wafungwe na mtaani wabaki watu safi!!@
Yes, kama kuna mwanachi atakayethubutu tena kupost/kuvujisha video ya Sodoma apimwe na ikithibitika akahifadhiwe. Haonewi mtu, hiyo ni kwa mujibu wa sheria zetu. Nyie endeleeni kumtetea huku vichochoroni alafu muone kama atachomoka.
 
Kuna ambao hawapost ila wanaliwa mzigo!Ili tubaki na jamii safi,basi ni vema watanzania wote wapimwe!Iwe kama sensa,nyumba kwa nyumba,anayekutwa hana puto,ni jela!!!
 
Haki ya mungu nch imeharibika ivi inakuaje mbona sielewi jamani nani anajua tunako enda?
 
Ya kustaajab wanaomsengenya ni wanawake wenzake. Daah nawachukia mashoga ila kiukweli huyo dada kaumizwa sana. Wasichana wengi huu mchezo wanaucheza sana tena zaid ya tunavofikiria. Ila kumuangalia huyo demu ni wale ambao hawajitambui. Yaan hajui baya wala zuri na ukifuatilia sana unaweza kuta hata malez ya wazaz wake yalikuwa ya hovyo, huyu sio wa kufungwa adhab ambayo kaipata mpaka sasa inamtosha.
 
Inabidi uambatanishe na picha kwanza
 
Kuna hatari ya kupigwa miaka 30!Ila kama wakiamua kila mtz apimwe,unaweza kuta thelufi ya wananchi wanaikimbia nchi!
 
Kuna hatari ya kupigwa miaka 30!Ila kama wakiamua kila mtz apimwe,unaweza kuta thelufi ya wananchi wanaikimbia nchi!
Kiukweli huu mchezo ni wengi sana zaid ya tunavyofikiri.sasa hivi ukipata demu ni wachache sana hawajazibuliwa. Mara nyingine akikusoma kama hupend atajiingiza hata mwenyewe
 
Kiukweli huu mchezo ni wengi sana zaid ya tunavyofikiri.sasa hivi ukipata demu ni wachache sana hawajazibuliwa. Mara nyingine akikusoma kama hupend atajiingiza hata mwenyewe
Halafu utakuta hao hao akina dada wanashabikia huyu binti kwenda jela!Mimi nadhani anahitaji msaada wa kisaikolojia kiliko kumpeleka jela!
 
Naona jamii inaaminishwa uongo juu ya huu upimaji.
Kwanza niseme hii kampeni ya Makonda ni ya kijinga, ila napinga sana vitendo vya ushoga. Hii kampeni itafanya hata ambao hawakujua ushoga ni nini watamani kujua, hata kuona videos na ndio wataharibikiwa zaidi achilia mbali namna watu wanavyochafuata saizi kwa kutajana majina.

Kuhusu upimaji, upo wa aina nyingi, kuna wa kutumia vifaa, na hata kuona kwa macho. Upimaji rahisi huwa ni kwa kuona ule mfereji kwa macho, mtu anainama kuhakikisha panaonekana vyema kisha anaweza ambiwa akohoe akiwa ameinama hivyo ndio upimaji rahisi ya mashoga ulivyo.
Sasa tuhitake kuaminisha watu kuwa kuna kuingizwa sijui vidole, sijui vitu gani ili tu kuchochea hasira za watu.

So, Amber kishindwa kukaa vizuri anajua yeye sababu, maana hata kama angepigwa finger, finger sio zaidi ya mashine kama ile video waliyosambaza inavyoonesha, yeye ni mzoefu.
 
Wengi tunachanganya mambo humu, hatukatai kuwa watanzania wengi wanashiriki mapenzi kinyume na maumbile (tiGo) lkn kosa alilofanya huyo mala.ya ni kusambaza picha zake za faragha mitandaoni, ukiingia xvideos utakuta clip kibao za Amber rutty akifanya uchafu wake so inaonesha kabisa hiyo ndo biashara yake. Ni bora angefanya mambo yake kinyakimya kuliko kuja kutuchafua na kutuharibia watoto mitandaoni. Apewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…