fact only
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 975
- 1,356
- Thread starter
- #21
Hakika Mkuu harufu Kali Sana. Wajitahidi usafi la sivyo kuna mahali watazidi kupoteza point e.g kazini au hata kwa wapenzi wao wakaribu.Naunga mkono hoja ila mkuu huyo mrembo atakua mmoja wa wale 'naturalists' wale huwa hawaoshi nywele 1. Dreads 2. Wale hawajaweka dawa ila wanajisukia mitindo mbali mbali asilimia kubwa huwa wanauadui na maji na kaubahili pia kuoshwa saloon
Wengine ni wale wanaokaa na nywele miezi miwili hadi sita bila kuosha. Hawa kiharufu chao kikali sana.