Si Kwa ubaya ila nasema fact

Si Kwa ubaya ila nasema fact

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
975
Reaction score
1,356
Habari wana JF.

Leo nikiwa kwenye harakati zangu hapa mjini Dar es salaam nimepanda bajaji Kariakoo to Msasani. Ndani ya bajaji nilikaa na Mdada mmoja mzuri Sana lakini shida nywele(Rasta) zinatoa harufu mbaya sana aise nimepata tabu sana wakuu zinanuka ile mbaya.

Nyie wanawake mjitahidi kubadirisha nywele(Rasta) zenu au suka hata kawaida Kama hauna pesa Kwa wakati huo.

Wakuu tujitahidi usafi wanawake Kwa wanaume ni noma public uwe unatoa harufu mbaya.
 
21cf2c50f1b9d6d59ccad3fd96007e17.jpg
 
Si poa kusema binadamu mwenzio ananuka!🤔
Isitoshe wanaogopa kutuomba pesa za kusuka coz tunalalama balaaa 😂😂😂
Tusiposema watajuaje Mkuu. Kuhusu kuomba pesa nimesema Hapo juu wasuke hata kawaida wakati wakiendelea kuzichanga.
 
Nakumbuka pale chuo walikua wanawashwa vichwa wanachoma na kalamu!Hadi huruma aiseh!!
 
Naunga mkono hoja ila mkuu huyo mrembo atakua mmoja wa wale 'naturalists' wale huwa hawaoshi nywele 1. Dreads 2. Wale hawajaweka dawa ila wanajisukia mitindo mbali mbali asilimia kubwa huwa wanauadui na maji na kaubahili pia kuoshwa saloon

Wengine ni wale wanaokaa na nywele miezi miwili hadi sita bila kuosha. Hawa kiharufu chao kikali sana.
 
Hy harufu ndo inatia genye wakati wa kuzagamuana
 
Habari wana JF.

Leo nikiwa kwenye harakati zangu hapa mjini Dar es salaam nimepanda bajaji Kariakoo to Msasani. Ndani ya bajaji nilikaa na Mdada mmoja mzuri Sana lakini shida nywele(Rasta) zinatoa harufu mbaya sana aise nimepata tabu sana wakuu zinanuka ile mbaya.

Nyie wanawake mjitahidi kubadirisha nywele(Rasta) zenu au suka hata kawaida Kama hauna pesa Kwa wakati huo.

Wakuu tujitahidi usafi wanawake Kwa wanaume ni noma public uwe unatoa harufu mbaya.
Ana fangus za kichwani huyo - huo ni ugonjwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom