Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,986
Mkuu ,usikariri eti gari lazima couples wote waendeshe,,mimi sina gari but nikinunua nataka mke nitakae muoa ndiyo awe ana niendesha,Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
Ha ha ha cha asubuhi kitamu mno we hujui tu.
Mimi akili ikishahamia chini halafu ukaniambia no mimi nakusukumia tu mashine mwenyewe utaonyesha ushirikiano.
Sina usafiri,na ningekuwa nao kazi hiyo ningeifanya mwenyewe.unataka kuniambia shangazi yangu ana amka rukwili kuosha usafiri wako..
Sasa kama mshedede umeshatutumka na wewe unasema hutaki unategemea mimi nifanyeje kama si kupata dawa?Nooh hapo ndo mnapokosea. ... mapenzi makubaliano bana vinginevyo utakuwa unabaka.
Mie kama sitaki au sijisikii kukupa halafu ukafosi nalala usingizi tuliii kama gogo nakuacha ujisevie ukimaliza naenda kuoga nalala hata sikusemeshi.
Hata upige katerero kama sijisikii kufanya waalaah siamki sana sana utajikuta peni yako inalala kwa kukosa ushirikiano. Raha ya penzi mshirikiane bana weeh,mnaeza enda masaa 3 bila kujijua ni utamu juu ya utamu..... ila ukijifanya ooh mie nataka.... tena kinguvu.... kwa Kasie utaishia kubaka tuu.
Waaaii kwanza hata cha asubuhi sikitaki mie. ... usingizi wa asubuhi mtamu atii. Ndomaana mahusiano yananishinda maana nikisemaga NO huwa sibembelezeki.....
Aaahhh jamaniii... basi acha tabia yako ya kuchepuka.Sina usafiri,na ningekuwa nao kazi hiyo ningeifanya mwenyewe.
Mke wangu ananipenda sana na ikitokea nimepiga mechi za nje huwa naumia kweli yaani namuonea huruma hatari ila mwisho w siku Mimi ni mwanaume so najikaza kisha napotezea.
Inategemea kuna wengine hata viatu was anatung’alishia wakati nao wapo maofisiniHapo hakuna mapenzi bali kuna mfumo dume
Unafikiri napenda basi mamii,huwa nazidiwa mwenzio maana unakuta mremo kanielewa na mimi nimemwelewa.Aaahhh jamaniii... basi acha tabia yako ya kuchepuka.
Ushaanza kuwapangia ratiba ndoa za watuAaahhh jamaniii... basi acha tabia yako ya kuchepuka.
Ushaanza kuwapangia ratiba ndoa za watuu are not good womanvat all....
Mmmh..!! Siyo kwa kutetea huko huchelewi kumuiba mumewenamtetea mwanamke mwenzangu.
Duuuhh...mm siwezi hivyo maana hiyo ni dhambi kubwa sana naogopa isije kunitafuna.Mmmh..!! Siyo kwa kutetea huko huchelewi kumuiba mumeweutashangaa nyumbani mkewe anakula wali maharage daily wakati wewe huku mumewe mnakula naye chipsi na kuku chomawe si wa sport mchezo.
Kasie ww wa kaskazini nn
Heeeheee halooooo...sawa dyadya.Waalaah chotara wa kinyamwezi mie.....
Basi tuu vionjo vya Kasie Matata hehehehe.