Usicheke mie siwez hivyo sina upendo huo wa agape.

Haha we mtata sanaUsicheke mie siwez hivyo sina upendo huo wa agape.![]()
Ha ha ha haWake wa dizaini hiyo walisombwa na mafuriko kitambo tu![]()
Hamna mtu asiyependa raha jamaniii...kutumia kila siku tz 11 inachosha mpendwa.Haha we mtata sana
Bilionea usiwe na tabia kama hiyo mnunulie baby hata ka vitz.Ha ha ha ha
hii kali aiseee, dah
Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.





nadhani mke ana hulka ya usafi tu ile ya kusafisha kila kitu kinachowahusu
Mke anaoshaje gari? Sio heshima hata kidogoMke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.
he he he heBilionea usiwe na tabia kama hiyo mnunulie baby hata ka vitz.
Aiseeh siku1 nilirudi nmechoka nikaacha kamguu kachafu nikapumzika ndani,mida ya jioni natoka wife yupo anaosha nilijisikia vibaya sana japo sikumwambia nikasema tu pole na kazi na asanteh!Mke ni mama wa nyumbani, wana Toyota karina ambayo mume anaendesha kuendea kazini. Bibie anaamka saa 11.30 asubuhi kuosha gari .
Mkoleni sikufundishwa haya na gari yenyewe hata kuendesha hajajifunza.