Mwanafamilia ukimaanisha ninii?beibe nasty miss you more.
Dah baada ya Judgement kukudiss come to ma world uwe na wanafamilia wangu wakiongozwa na mamaa Chocs na mamaaa Kipipi wa ukweli
Jaman beibe nasty ulivyosema "si kupenda kwangu" nimejisikia huzuni, kwamba isingekuwa ubize wako hadi leo ungekuwa na Judgement si ndio? Ila usijali nitamtunza vizuri sana. Nashukuru kwa wosia wa uvumilivu, nitautekeleza.
Una miakili wewe! Ndiyo maana nilikutongoza ukatongozeka! nikakusaundisha ukasaundika! Nikakudarasisha, ukadarasika! Mwisho wa siku Nikakuwowa!
Ai lav yuu tuu!
habari humu jamvini nimetokea kufurahishwa sana na uamuzi wa my ex husband kuwa amepata jiko jipya kwa moyo mkunjufu kabisa Ynnah karibu ktk ulimwengu wa malovee na bwana judgement ila tuu kua muangalifu coz ndoa ni uvumilivu..........
nahisi sasa my sister and my shost Charming Lady umeridhika sasa kuwa nimepata taarifa.
Angalizo: bado sijarudi rasmi maana kuna majukumu ya menkaba but nimewamis Arusha One, Erickb52, Babu Aspirin, mentor my bro my Dad watu8, kipipi my sis and others 🙂
Una miakili wewe! Ndiyo maana nilikutongoza ukatongozeka! nikakusaundisha ukasaundika! Nikakudarasisha, ukadarasika! Mwisho wa siku Nikakuwowa!
Ai lav yuu tuu!
Mbona nasoma vitenzi vifurukushi tu hapa au kiswahili kimeanza kunipiga chenga....
umeonahh eeh B52 yan ntaanza taratibuuubeibe nasty miss you more.
Dah baada ya Judgement kukudiss come to ma world uwe na wanafamilia wangu wakiongozwa na mamaa Chocs na mamaaa Kipipi wa ukweli
Kweli kizuri kula na mwenzio...
Jaman beibe nasty ulivyosema "si kupenda kwangu" nimejisikia huzuni, kwamba isingekuwa ubize wako hadi leo ungekuwa na Judgement si ndio? Ila usijali nitamtunza vizuri sana. Nashukuru kwa wosia wa uvumilivu, nitautekeleza.
Mwanafamilia ukimaanisha ninii?
umeonahh eeh B52 yan ntaanza taratibuuu
Haya bhanaSiunajua mtalakwa anahitaji msaada bby...sina jingine ni hilo tu
Hahaaaaaaaaashoga wee achaa tuu na kinakuaje kitamuuuuu
Ngoja nikitoka Ntwara nitakuja kutoa kauli nzito kuhususiana na suala hili.
kama ndo hivo heri nipige magoti kuwaombea