Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Nimetoka harusini leo hizi meza za kukaa tuu watu hamjuani, sherehe si ya ndugu ni zile za kuchangia tuu.
Pembeni yangu wako wadada 2 yaani walikuwa wanapiga story mwanzo mwisho, walishiriki kwenye sherehe saa ya chakula tuu muda mwingine wanastorisha.
Mmoja anamwambia mwenzake, yaani pamoja na kuwa langu si kubwa ila bwana kampa compliments kwa kujua kuroll it, he cried am telling u, she keeps on telling her friend. The guy want another time hahaa ( akawa anajisifia) sura yangu ya bati, la kwangu dogo ila kujua kuliroll hahahaa limemnasa ndege tunduni na hachomoki hapa.
Nikajisemea tuu wanaume mna kazi, mara makubwa yawatoe mate udenda na kugawa pasiwedi za ATM, mara mkirolliwa na madogo mtangaze nia.
Thank God nilizaliwa mwanamke, nafa...a na utamu napata.