Sina fact juu idadi ya member jamii forum ni wa elimu gani BT kwa mda nilionao humu nikisoma comments nahisi wengi ni wasomi graduate+...km usemalo ndio iko hivyo thanks kwa kunielewesha....then km unawalaumu CCM unawaacha VP CHADEMA chanzo cha hizo mambo?Naomba nikuweke sawa,waliopo wengi jamii forum ni std 7 pamoja na form 4. pili unavozungumzia dola unatakiwa kujua dola inaongozwa na chama gani ndio utajua kwann watu wanailamu ccm kwa kila kosa linalofanywa na dola.
Sikia ndugu....kutoka nje ya mada haimanishi sio msomi...wengi humu wasomi mkuu...then km CHADEMA wanapaswa kulaumiwa kwann MTU akitoa hoja anatukanwa?kama ni msomaji wa comment utagundua watu wengi huwa wanachangia nje ya mada hii inatikana na uelewa mdogo juu ya mada (elimu). Chadema nao wanastahili lawama kwa upande flani lkn kabla ya kuwalaumu unatakiwa kujua sababu ya wao kuwa chanzo cha matatizo.
Sina fact juu idadi ya member jamii forum ni wa elimu gani BT kwa mda nilionao humu nikisoma comments nahisi wengi ni wasomi graduate+...km usemalo ndio iko hivyo thanks kwa kunielewesha....then km unawalaumu CCM unawaacha VP CHADEMA chanzo cha hizo mambo?
kama wapo wasomi wanaotukana katika asilimia mia moja basi 25 ndio watukanaji iliobakia wanajua wanachokifanya mtandaoni.Sikia ndugu....kutoka nje ya mada haimanishi sio msomi...wengi humu wasomi mkuu...then km CHADEMA wanapaswa kulaumiwa kwann MTU akitoa hoja anatukanwa?
Kwann uandamane bila kibali na CHADEMA uwa wanajinadi wanafuata utawala wa sheria? Inamaana hakuna njia mbadala hadi waandamane....OK yule diwani aliyekatwa mapanga unailamu VP polisi au CCM wao wamefanya nn? Tusiishi kwa dhana cz km tukienda kwa dhana CHADEMA wanalo la kujibu juu ya kifo cha CHACHA wangwe hadi Leo kimya....dhana zipuuzwe utaratibu ufuatwe...Chadema wanaweza kuwa na shida sawa but why ni wao kila siku inawezekana kuna sehemu ni kweli wanaonewa so ni muhimu kusikilizwa
Mfano ishu za form za mkurugenzi kuwapa mawakala wa uchaguzi nadhan kama tume ingekuwa inawapa mapema kusingekuwa na magomvi sasa mkurugenzi anazima simu au hapokei simu mpaka watu waandamane ndio atoe sidhani kama ni sawa
Uchanzo cha chadema ni wapi?! Kwa mfano maandamano ya kinondoni, chadema wangefanya Je?! Mpaka siku ya mwisho jioni saa 12, bado Mkurugenzi amewanyima viapo vyao vya kuwatambulisha vituoni na kesho yake saa 12 kura zinapigwa, wamefanya Je?!! Wakati huo wenzao wana viapo zaidi ya wiki!!! Kwa nini usione tatizo lilipo?! .Sina fact juu idadi ya member jamii forum ni wa elimu gani BT kwa mda nilionao humu nikisoma comments nahisi wengi ni wasomi graduate+...km usemalo ndio iko hivyo thanks kwa kunielewesha....then km unawalaumu CCM unawaacha VP CHADEMA chanzo cha hizo mambo?
Km hoja gani imekosa majibu ufikie kutukana?kama wapo wasomi wanaotukana katika asilimia mia moja basi 25 ndio watukanaji iliobakia wanajua wanachokifanya mtandaoni.
Hoja nyingi zinazotolewa ambazo zinahitaji majibu kutoka chadema zimekuwa zikiwagandamiza ndio maana yote hayo yanatokea unayoyasema.
Sina tatizo na hoja ulizotoa OK....una uhakika gani km serikali imehusika ishu ya lisu? Hivi haujui km lisu wakili? Unajua anasimamia kesi ngapi zenye risk gani? Pia hoja yangu mbona mapungufu ya CHADEMA huyasemi? Kwann MTU akisema mnamkebei wakati kuna Uhuru wa mawazo...?Uchanzo cha chadema ni wapi?! Kwa mfano maandamano ya kinondoni, chadema wangefanya Je?! Mpaka siku ya mwisho jioni saa 12, bado Mkurugenzi amewanyima viapo vyao vya kuwatambulisha vituoni na kesho yake saa 12 kura zinapigwa, wamefanya Je?!! Wakati huo wenzao wana viapo zaidi ya wiki!!! Kwa nini usione tatizo lilipo?! .
Tundu Lissu alisababishaje kumiminiwa risasi kama chatu?! Na Je Mawazo alifanya nini mpaka acharangwe mashoka, kama nyama buchani?! Hebu eleza chanzo chao cha matatizo
Kuhusu ndege kukamatawa huko Canada Je kosa la CDM ni lipi?! Kwamba wewe hujui alieleteleza hilo deni?! Jibu maswali yangu
Kwann uandamane bila kibali na CHADEMA uwa wanajinadi wanafuata utawala wa sheria? Inamaana hakuna njia mbadala hadi waandamane....OK yule diwani aliyekatwa mapanga unailamu VP polisi au CCM wao wamefanya nn? Tusiishi kwa dhana cz km tukienda kwa dhana CHADEMA wanalo la kujibu juu ya kifo cha CHACHA wangwe hadi Leo kimya....dhana zipuuzwe utaratibu ufuatwe...
Uchanzo cha chadema ni wapi?! Kwa mfano maandamano ya kinondoni, chadema wangefanya Je?! Mpaka siku ya mwisho jioni saa 12, bado Mkurugenzi amewanyima viapo vyao vya kuwatambulisha vituoni na kesho yake saa 12 kura zinapigwa, wamefanya Je?!! Wakati huo wenzao wana viapo zaidi ya wiki!!! Kwa nini usione tatizo lilipo?! .
Tundu Lissu alisababishaje kumiminiwa risasi kama chatu?! Na Je Mawazo alifanya nini mpaka acharangwe mashoka, kama nyama buchani?! Hebu eleza chanzo chao cha matatizo
Kuhusu ndege kukamatawa huko Canada Je kosa la CDM ni lipi?! Kwamba wewe hujui alieleteleza hilo deni?! Jibu maswali yangu
Ilo anaweza kujibu mkurugenzi tu cz ye ndio anajua kwa nn alichelewesha...hoja yangu mawazo mbadala yasikilizweNa si unaona walipata baada ya kuandamana that's means labda wasingeandamana wasingepata kabisa
Sasa swali la kujiuliza why mkurugenzi akuwapa before wakati wanakwenda kwenye office yake kwa utulivu na amani?
Na si unaona walipata baada ya kuandamana that's means labda wasingeandamana wasingepata kabisa
Sasa swali la kujiuliza why mkurugenzi akuwapa before wakati wanakwenda kwenye office yake kwa utulivu na amani?
Baada ya kuzipata zimewasaidia nini?
Umeanza kuleta mambo yako ya Facebook, hapa ni jamii forums hakuna mambo ya utoto
Jibu hoja sio kejeri