IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,027
Jamii forum naamini ni platform inayotumiwa na wasomi kutoa mawazo yao kuliko sehemu yoyote ile.
Sisi wengine tunadandia tu ingawa ni haki yetu..BT wengi humu ni graduate+ wachache sana, sisi wa form IV na STD7 wachache.. Kinachonishangaza ni kwann kila jambo wakifanya CHADEMA hata kama sio sahihi linasapotiwa sana. Na yeyote atakayetoa mawazo mbadala atatukanwa na kukejeliwa sana..
Hii tafsiri yake nini?
Ukitoa mada kuhusu CCM ni kejeli tupu hata km ni jambo jema. Kwangu Mimi hii haiko sawa. Kila upande unafanya makosa kwa namna yake. Pia makosa ya wengine wasibebeshwe wengine. MTU anasema hao CCM wanaua...hii si kweli sababu kama kosa limefanywa na dola yaani polisi chama kinausikaje...?
Tusikilize mawazo ya wengine sio kukashifu kwa kejeli....