Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,897
- 24,299
UmemalizaKingine nilichogundua ili Ai ikupe majibu mwanana ni lazima na yenyewe muwe MNAELEWANA,kwa maana uulize maswali au uielezee kwa kueleweka,ukikosea kuuliza inakujibu jinsi ulivyokuja,lakini pia ukitaka ikupe majibu mazuri huwa inapenda kukufahamu wewe,kwasbb tukumbuke hizi Ai kila unapojadiliana nayo jambo huchukua nafasi hiyo kukusoma wewe ni nani,ni mtu wa aina gani,unapenda nini na tabia zako ni zipi.
Wengi huwa wanauliza mambo kimkato au hayaeleweki.
Binafsi chagpt naikubali sana