Martine Tibe
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 221
- 160
Yaani ni wajibu na sio lazima . Lkn wazazi walio wengi wanaofanya lazima. Yaani unaanza kazi leo mwez ujao tyr wameshaanza kukupa shida rukuki
Mwanangu Zero IQ una accaount mbili "............zaid yng.......",unaongea na kujijibu mwenyewe.Hahaa , unaishi maisha ya zaman Sana mpwa . IQ yako ni low Sana zaid yng
Ndiyo hujuiHivi kusema kitu ni wajibu sio lazima maana yake nini? Au sijui Kiswahili sikuhizi. Kitu kikiisha kuwa wajibu maana yake ni lazima.
Wajibu unaweza kufanya au usifanye ulazimishwi, ni moyo tu ukipenda.Hivi kusema kitu ni wajibu sio lazima maana yake nini? Au sijui Kiswahili sikuhizi. Kitu kikiisha kuwa wajibu maana yake ni lazima.
On point brazaWajibu unaweza kufanya au usifanye ulazimishwi, ni moyo tu ukipenda.
Lazima imekucontrol, upende au usipende unatakiwa ukitende ata kama moyo hautaki
Ndiyo hujui
Wajibu unaweza kufanya au usifanye ulazimishwi, ni moyo tu ukipenda.
Lazima imekucontrol, upende au usipende unatakiwa ukitende ata kama moyo hautaki
😂😂 Nyie jamani!!! Oni Sigala where you at!On point braza
Angalia kamusi ya kiswahili sanifu kati ya neno WAJIBU na LAZIMA
"......zaid yng.....".Hapana bro huyu ni mtetezi tu wa hoja, mfuasi
Okey nilikuwa sijajua jina lake"......zaid yng.....".
Hahaha
ID mpya hii 👆👆 ya Zero IQ .Hahaa , unaishi maisha ya zaman Sana mpwa . IQ yako ni low Sana zaid yng
Its all games until ugonjwa uliomsumbua jasiri muongoza njia umekupata!Ukijiwekea akiba kuumwa, na matatizo ya uzee yanajitatua kwa sababu utakuwa na Akiba yako itakayotumika kukuhudumia,
Ajiri mtu wa kuhudumia kwa akiba uliyojiwekea unanani.
Achia watoto watunze familia zao, ndio maana wazee wengi wanakufa kabla ya uzee wao kamili kwa sababu ya mawazo, na stress za kutokutunzwa na watoto zao.
Kitu pekee cha kuomba uzeeni ni faraja tu kutoka kwa watoto
HahaaaJaribu kusoma ata miandiko
Huu ujinga achana nao! Unahitaji watu toka siku umezaliwa mpaka ulipofikia hapo!Kwanza sizai watoto kwa sababu ya kunitunza uzeeni niweke wazi,
Ikitokea hivyo basi ni wao tu na Huruma zao waamue kunitunza mimi mzee ambae pengine nilishindwa kujiwekea Akiba ujanani kwangu.
Tunawapa Mzigo mzito watoto zetu, na imekuwa kama wajibu wa wazazi wengi kuwaambia watoto zao kwamba nimekuzaa ili uje unitunze uzeeni"alikwambia nani kwamba utafika uzee wa kufikia kutunzwa"
Mi nazaa kama wajibu wangu, na Jukumu langu kuu ni kuwatunza ili kesho na kesho kutwa wakose cha kusema wakishindwa kufanikiwa kwenye maisha yao.
Nazaa wanangu na kuwaambia, nimewazaa siyo kwa sababu mje kunitunza uzeeni, Nimewazaa ili mje kuishi na kuzitimiza Ndoto zenu.
Ishini kwa matakwa ya mioyo yenu ili nanyi mje kuzitunza familia zenu.
Mimi sio Ndugu yako, Ndugu zako ni hao uliozaliwa nao na wale wachache ambao watatambua shida zako, wale utakao kuwa nao kwenye Shida na ata Raha ndio Ndugu zako wa kweli shikana nao.
Mimi Nimetumika kama kiungo cha kukuleta kwenye ulimwengu huu hivyo, mimi ni kama gari tu na wewe abiria wajibu wangu ni kukuhudumia vyema na kukufikisha mpaka pale utakapokwenda,
Nikichakaa(nikizeeka) siyo jukumu lako kunitunza, kuna walionileta ndio ulikuwa wajibu wao, labda ufanye tu kwa wema wako ila sio wajibu wala jukumu.
Ndugu tusiwape majukumu mazito Watoto zetu mpaka kufikia hatua ya kujuta kuzaliwa,
Watoto zetu wanamajukumu mengi, wana familia zao za kuwalea tusiwatwishe mizigo mizito ya kuwaelemea.
Tujiwekee Akiba ujanani mwetu, tujiwekee akiba, tuache kula ujana tu kwa kutegema watoto watakulea.
Jiwekee akiba, hakika hautokuja kujuta
Ni Faraja tu ndio kitu kiwe cha kuomba ukizeeka.
Cc Zero IQ.
Cc Zero
Niachwe nife, hakuna kitu hutaweza fanya kuzuia na ndioa maana licha ya kutibiwa kw hizo gharama sasa hivi hayuko tenaIts all games until ugonjwa uliomsumbua jasiri muongoza njia umekupata!
Bill ya kila siku million 6 kisha uone kama hio million 70 yako haijakata ukiwa still upo kitandani!