Si "date" na wanawake wachovu!

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Based on my true story!
Mwaka 2014:

Yeye: sikutaki halafu jifunze kubalance shobo, simaanishi wewe ni mbaya na huna mvuto, hapana, ila tu sijakupenda.(wakati huo anatoka na lecturer na kwao walikuwa na maisha).

Mimi: ila sikuwa na lengo baya nilitaka kukueleza kuwa nakuhitaji.

Yeye: hapana haitowezekana, sikia nikuambie kaka yangu, mbona wewe ni mzuri na hb tu? Jikubali na nakuhakikishia utapata mtu sahihi atakayekupenda na utakayempenda ila FORGET ABOUT ME.

Mimi: ila nilikupenda wewe, kuhusu mahitaji madogo madogo nitakugharamia, salon, msosi, outings etc, nitajitahidi.

Yeye: anyway nikuambie tu kwa mara ya mwisho SIKUPENDI, 'hivo' yaani!(huku akipiga hatua kuondoka mara baada ya kuitwa na shoga yake ambaye naye alikuwa na dharau sana.

Mimi: okay ahsante(sina tabia ya kubembeleza).

Mwaka 2022:

Yeye: hallooo mambo?

Mimi: nani?

Yeye: jamani umenisahau Mara hii? Grace jamani( kwa mapozi)

Mimi: ooooh Grace nafurahi kusikia sauti yako, kwema?

Yeye: kwema tu naomba kesho tuonane kama hutojali(baada ya stori kadhaa)

Mimi: panga sehemu(niliamua makusudi kujifanya boya)

KESHO YAKE:

BAADA YA KUPATA VINYWAJI NA CHAKULA(NILIMSAIDIA KULIPA)

Mimi: hayaaa naomba twende kwenye mada.

Yeye: ooooh fulani huwezi amini, muda wote huu nilikuwa kimya nilikuwa naumia sana.

Mimi: oooh kwa kipi?

Yeye: wewe, nikagundua kumbe nilikuwa nakupenda(akianza kulia)

Mimi: daaah, nashukuru sana!

Yeye: nimekutafuta mno ni kama bahati Petro alinipa no. yako(si jina halisi)

Mimi: ahsante nimekuelewa ila mimi kwa sasa sidate na mademu wachovu, nikikuangalia hapo unaonekana huna hela japo bado una urembo umebaki nao(alikuwa kachoka japo si sana na alichuja kiasi), labda nikupe option moja

Mimi: ukitaka tudate nenda pambana tafuta hela walau ufikie robo ya mali zangu, ikiwemo uwe na gari moja tu lenye thamani kuanzia 25M, hapo tutakaribiana na nitaweza kukufikiria.

Yeye: huku akilia tu bila kujibu chochote.

Nilishikwa na huruma ila nikamuacha na option hiyo hapo. Naumia mno kwa kumjibu vile, daaah! Hii inanitesa sana.
 
Nimemkumbuka mdada mmoja alinambiaga hawezi kuwa na mimi kisa sina hela nikamwambia unataka tsh ngapi uijie sahivi hapa room (ni jirani yangu) akatuma emoj za kujichekesha then akasema tuyaache

Siku moja nimekutana nae kwenye corridor ya club niko na pisi moja kali sana nyeupeee afu ina tako na tabia njema,nilihakikisha nampush ili aione

Na before hapo nilileta geto pisi moja nyeupeee afu ndefu,bahati mbaya tu hakuwepo aione,msemo wa chura hapigwi teke its real !!!
 
Kwamba awe na gari moja la mil 25😂😂 na hiyo ni robo ya mali zako kwahiyo unasukuma mkoko wa mil 100,,, naomba nicheke mie😂😂😂😂😂😂

Halafu wanaume wengi wenye hela jf hawaijui ama la sio wachangiaji kabisa sasa ukiona mkaka anaandika uzi humu, huyo ujue Ni paukwa pakawa
 
Based on my true story!
Mwaka 2014:

Yeye: sikutaki halafu jifunze kubalance shobo, simaanishi wewe ni mbaya na huna mvuto, hapana, ila tu sijakupenda.(wakati huo anatoka na lecturer na kwao walikuwa na maisha).

Mimi: ila sikuwa na lengo baya nilitaka kukueleza kuwa nakuhitaji.

Yeye: hapana haitowezekana, sikia nikuambie kaka yangu, mbona wewe ni mzuri na hb tu? Jikubali na nakuhakikishia utapata mtu sahihi at
Chai imekosa mkate wa kikinga 🤣🤣🤣🤣😂
 
Back
Top Bottom