Si "date" na wanawake wachovu!

Si "date" na wanawake wachovu!

Yatawatoka ila ulichoandika ni ukweli kabisa na umenikumbusha mkasa mmoja dada flani humu alipataga shida alipewa mimba jamaa akaingia mitini home wakamfukuza akaja kuomba msaada hapa....mibaharia full kumuita ita mara njoo mbeya mara njoo wapi uzuri alikua ananiambia tunashauriana.....aliemsaidia ni id moja mtu ambae humu ni mtu wa kawaida wala hakutaka kumuona yule dada alimwambia tafuta chuo chochote unipe bill yote nitalipa ukasome na mtoto nitamhudumia...abarikiwe sana huyu mtu.

ila hivi vibaharia njaa kama mimi kelele sasa!!!
Huyo mtu aliyemsaidia huyo dada ana moyo wa pekee sana.
 
Ninyi ndo wanaume wa kulazimisha penzi, mtu tayari anatombwa na mtu wake, we unamtongoza umle, ataliwa na wangapi? Akikukatalia unaanza shobo!

Nanyi wanawake acheni dharau kwa wanaume, pumbavu zenu
Kama kuna mtu anakukaza, mtu akikutongoza mwambie 'ombi lako kaka nimelisikia, ila nina mtu wangu ambaye ananihudumia, siwezi kuwa na wawili siwezi, ila akiniacha na kama utanipenda tena basi sawa" mtu anakuelewa bila kashfa.
Wise saying.
 
Kwamba awe na gari moja la mil 25😂😂 na hiyo ni robo ya mali zako kwahiyo unasukuma mkoko wa mil 100,,, naomba nicheke mie😂😂😂😂😂😂

Halafu wanaume wengi wenye hela jf hawaijui ama la sio wachangiaji kabisa sasa ukiona mkaka anaandika uzi humu, huyo ujue Ni paukwa pakawa
Wengine wanakula ugali wa shikamoo
 
nimemkumbuka mdada mmoja alinambiaga hawezi kuwa na mimi kisa sina hela nikamwambia unataka tsh ngapi uijie sahivi hapa room (ni jirani yangu) akatuma emoj za kujichekesha then akasema tuyaache
siku moja nimekutana nae kwenye corridor ya club niko na pisi moja kali sana nyeupeee afu ina tako na tabia njema,nilihakikisha nampush ili aione
na before hapo nilileta geto pisi moja nyeupeee afu ndefu,bahati mbaya tu hakuwepo aione,msemo wa chura hapigwi teke its real !!!
Nyeupe alaf binamu yako akijichubua unashangaa

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa bado ana maumivu ya kukataliwa tangu 2014. Hii ni chai na ni ndoto zake huenda hata baskeli hana. Ila hii approach ni nzuri. Ila siyo rahisi dem akukatae 2014 akaufate 2022 akulilie eti anakupenda si angekufata hata 2015 hivi.
It might happen, maisha yanafunza mengi, wanasema kukaa kimya ni jambo zuri sana, hata kama una mawazo yako unahisi ni mazuri sio lazima uyaseme, hata kama ni ukweli ila unajua utamuumiza mtu kausha.
 
Hata sina hela kiasi hicho, ila tu nataka walau tukaribiane, ili niamini kweli ananipenda, na si kwa sababu ana njaa!
Kama hana njaa na amekupenda atakung'ang'ania mpaka ujute kumfahamu. Kama roho inakusuta kwa jibu ulilompa muombe msamaha, pia mwambie ukweli kuwa alizingua miaka ya nyuma ila haumpendi na umesha move on.
 
Mkuu upo sahh Sana kw hilo jibu hiv viumbe wakiwapata matu wamaana wanaona sisi wengn Kam madenge na vikashfa vyakutosha Kwahy hujakosea man hakuna tuzo ya kuwa mwema kwa mtu aliekuletea kejeli,

Hta mm nilikuwa na huruma Sana ila kwasasa nmejifunza kubalanc mzani mtu akiniheshimu tunakuwa sambamba akileta dharau nampotzea tu namm
 
IMG_8673.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom