Si "date" na wanawake wachovu!

Usikariri, hao ambao JF huwez kuwaona wanatafuta hela kwa jasho wengine wameachiwa za urithi.. shauri yako
Ishu ya msingi ni fwedha kaka ziwe za urithi za wizi, ulozi nk ila anajulikana kuwa anayo pesa pesa peeeeisaaa

hawezi kuacha kuongeza zero's akaja jf kujibishana, kutukana, kujikweza au kudhalilisha wanawake hayupo mwanaume mwenye pesa atafanya huo upupu
 
Ishu ya msingi ni fwedha kaka ziwe za urithi za wizi, ulozi nk ila anajulikana kuwa anayo pesa pesa peeeeisaaa

hawezi kuacha kuongeza zero's akaja jf kujibishana, kutukana, kujikweza au kudhalilisha wanawake hayupo mwanaume mwenye pesa atafanya huo upupu
Kuna wengine wana hela na wanadharau na kejeli pia usikite huyu jamaa nae ni mmoja wao..
 
Ninyi ndo wanaume wa kulazimisha penzi, mtu tayari anatombwa na mtu wake, we unamtongoza umle, ataliwa na wangapi? Akikukatalia unaanza shobo!

Nanyi wanawake acheni dharau kwa wanaume, pumbavu zenu
Kama kuna mtu anakukaza, mtu akikutongoza mwambie 'ombi lako kaka nimelisikia, ila nina mtu wangu ambaye ananihudumia, siwezi kuwa na wawili siwezi, ila akiniacha na kama utanipenda tena basi sawa" mtu anakuelewa bila kashfa.
Daa hii comment ya kibabe ukweli mtupu ila imenifurahisha kwa namna ulivyoandika.
 
nimemkumbuka mdada mmoja alinambiaga hawezi kuwa na mimi kisa sina hela nikamwambia unataka tsh ngapi uijie sahivi hapa room (ni jirani yangu) akatuma emoj za kujichekesha then akasema tuyaache
siku moja nimekutana nae kwenye corridor ya club niko na pisi moja kali sana nyeupeee afu ina tako na tabia njema,nilihakikisha nampush ili aione
na before hapo nilileta geto pisi moja nyeupeee afu ndefu,bahati mbaya tu hakuwepo aione,msemo wa chura hapigwi teke its real !!!
Yeah
 
Kwamba awe na gari moja la mil 25 na hiyo ni robo ya mali zako kwahiyo unasukuma mkoko wa mil 100,,, naomba nicheke mie

Halafu wanaume wengi wenye hela jf hawaijui ama la sio wachangiaji kabisa sasa ukiona mkaka anaandika uzi humu, huyo ujue Ni paukwa pakawa
Hata sina hela kiasi hicho, ila tu nataka walau tukaribiane, ili niamini kweli ananipenda, na si kwa sababu ana njaa!
 
Sasa unaumia nini!!!?
Focus mbele!! Hilo janga ndo lilishapita hivyo.
Kuna mwingine huku ananletea dharau zaidi ya hizo akiwa na rafiki yake anaemkoleza!!
Naisubiria 2030 atakaporudi kunibembeleza!!
Daaaah, unaonekana una fight sana, hongera.
 
Jamaa bado ana maumivu ya kukataliwa tangu 2014. Hii ni chai na ni ndoto zake huenda hata baskeli hana. Ila hii approach ni nzuri. Ila siyo rahisi dem akukatae 2014 akaufate 2022 akulilie eti anakupenda si angekufata hata 2015 hivi.
Imetokea kwangu, sijajua kanipendea nini ghafla hivi
 
Wadada ni tofauti hata kikuumbwa hulka na utashi wa me na ke havifanani,, kwa hii comment yako ni km umekurupuka unajilinganisha na mwanamke,,, navyojua mwanamke Yuko pale ili aliwe Sasa ukidhihaki au kuumia na ke kuliwa wataka uliwe wewe!
Ni kweli, ukikuta mwanamke JF, hafai kuliwa hata kimasihara.
 
Back
Top Bottom