Si bora wangefanya mwezi wa tisa paper

Si bora wangefanya mwezi wa tisa paper

Golden felician

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
216
Reaction score
36
Si hungehairishwa huu mtihani.wakaongezewa ata miezi mitatu.mbona kama ka uonevu Fulani iv.iv hii miaka miwili kweli hii
 
Mmh mi sjakuelewa mkuu
Hahahaaa sababu naona ka maigizo kesho kutwa tu watu waanze kuingia chuo kikuu daaah.wengine wamalize chuo.na huyu ancle ndo ataki toa ajila.na Mimi nije nimalize tutakuwa wangapi mtaani.
 
Hii ni hoja, Tetesi, Habari au nini mkuu???
 
Waongezewe basi mpaka 2020..pointless post
 
Dogo wewe lazima 2020 ukapige sifuri advance akiamungu, kuna jamaa alikua kama ww mwisho wa siku alikula mzinga wa nyuki aseee, pia tushachoka na uzi kila wakati unafungua uzi mpya! Tukutane 2020 mdogo wangu!!
Hahahaaa maneno ya mkosaji hayoo.sio kila mtu you can judge kulingana na maneno yake au masihala yake ndo ukajua hadi future yake ikoje.me kutoboa ni msuri wangu tu na mungu akisaidia wewe sio mungu unijudge mapema hivi.sababu wewe mwenyewe uijui kesho yako.yanini unihukumu ikiwa wewe sio mungu.acha hizo bana.maisha yangu na F6 yangu anaijua mungu pia na msuri wangu.
 
Dogo wewe lazima 2020 ukapige sifuri advance akiamungu, kuna jamaa alikua kama ww mwisho wa siku alikula mzinga wa nyuki aseee, pia tushachoka na uzi kila wakati unafungua uzi mpya! Tukutane 2020 mdogo wangu!!
Halafu sio vizuri kuhapa kwa mungu vitu vya kijinga tu.we kweli ni binadamu sio mtu.kama ungekuwa mtu basi ungekuwa na UTU.daaah yani mpaka unahapia kabisa kwa mungu ili mladi nipate sifuri F6.mungu sio wa hivyo kaka.uwezi ukamwombea mwenzako mabaya tena kwa mungu.
Alafu Sasa wewe uko JF kutafuta nini kama usipokuta Uzi mpya.kwa hiyo ulitaka yawe yaleyale kila ukiingia JF
 
Kuna jukwaa la utani..huku ni mambo serious za elimu
Haya kaka nilikuwa sijui sababu sijawa perfect sana humu.so sijui mengi.bado najifunza kidog kidogo.bora na wewe unae elekeza njia sahihi.
 
Fanya Mitihani acha uvivu WA kufikiri, nitakuajiri
 
Wew toka umejiunga JamiiForum una kazi ya kuanzia nyuzi zisizomaana na hazieleweki
Hem komaa na masomo yako huenda ukimaliza kusoma utatoka na utimamu
Acha kujaza majukwaa kwa mambo ya kijinga
 
Dogo njoo nikuajiri...usimamie mradi wangu wa kuku
 
Back
Top Bottom