Shyrose hujaonewa

Shyrose hujaonewa

Mumuwache Dada wa watu uchi wake kinawauma nn? Ana haki afanye vile atakavyo.
 
Anawaza mkopo wa Range Rover atalipaje? Na utu uzima ushapiga hoi nani wa kumpa tena kazi?
 
Hao wenye maadili mema wamefanya nini cha maana??? Huoni wavuta bangi kama Sugu wanavyopambana??? Hivi kuna star yoyote hapa nchini aliyechafuliwa kama Amina Chifupa???? Uliona kazi zake??? Kama umalaya wake hauathili utendaji wake nini tatizo pale??? Huyo na kina wema mmnawaona malaya kwakuwa tu ni maarufu, ila kuna viongozi wachafu hata mara kumi yao.......?.....uliza uambiwe wewe, na fahamu kuanzia leo, mwanamke akiwa mzuri hiyo ndo tiketi yake ya kutoka kimaisha..........!!!!!!!
 
~~>>>Wakati anashinda nafasi ya Ubunge wapo waliokosa hiyo nafasi, sasa hivi ameshindwa wapo watakaopata.......

Aache kulia lia... Hiyo haikuundwa kwa ajili yake peke yake... Akae chini atulie
Shida sio kutochaguliwa, tatizo amekatwa isivyo halali
 
Shida sio kutochaguliwa, tatizo amekatwa isivyo halali
Amina Chifupa alifanya nini? hakufanya lolote zaidi ya kuwa na wazo, yeye na ndoto ya Godbless Lema hazina tofauti, kapata kura za huruma kwa kuwa aliugua na kufariki. na pengine hakuuawa na wauza madawa kama tunavyotaka ifahamike, kwa kuwa si muda mrefu mume wake mpakanjia naye alikufa baada ya kuugua, ndio maana watu kama wakina Rostam Aziz walikua wanasema kuwa alikua muathirika na hivyo kufariki kwa ukimwi. Mungu amlaze mahali pema peponi yeye na mumewake mpaka njia.
 
Huyo mtani wangu ovyoo kipindi kile Jaffarai anaigonga alikuwa anafanya kazi NMB, Wakubwa wakawa wanaibonya Jaffarai akamwaga mzigo, kura za maoni 2010 ubunge wa kinondoni akataka kuzichapa na Iddi Azzan, Kwenye kugombea uenyekiti wa UWT huko ndio aliifumua mitusi sema akazidiwa na mtoto wa mjini Sofia simba, Tena mbaya zaidi UWT kuna mimama ina mitusi hiyo, midomo yao michafu, mipasho ndio usiseme Khadija Kopa cha mdoli.
 
Sio lazima awe Mbunge wa EALA! Ameshindwa kuleta mabadiliko kwao pake Musoma, hivyo asitegemee kuleta kuiletea mabadiliko Tanzania
 
Ssm mbona uvccm walishhindwa kujadili hili wakaanza kujadli CDM...daa jaman vijana waa ccm hapana!!
 
Kila ukiamka ni Bashite, au amekula 0716 yako nini
0716 hata yeye Nasikia Hana malinda Huko so nadhani uwezo wa kugusa yangu Hana.

Ila kwa jinsi ulivyoguswa na comment yangu nadhani unaona wivu kuchangia kwa Bashite usiogope Mimi huwa sili 0716.

Hivi kwenye hii post umeumia sana kutajwa Bashite tu hao wengine hawakuhusu???
Ndiyo bye bye shyrose!
 
Kwann hukuyasema hya tangu zaman+? Unaanza kumchafua kwa sabab kalalama pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom