Shyrose- bhanji ana agenda gani?

Ngoja nimtafute...kama atagombea mwaka 2015 niwe kampeni meneja wake, manake siku hizi ukitaka kutoka inabidi uwe mwanasiasa au uwe karibu na wanasiasa!
 
kuna mmama mmoja kule italia alikuwa pornstar baadae akawa mbunge, ikitokea huku kwetu sijui itakuwaje! kweli hatuongozwi na nguo au utupu wa mtu. utamsemaje yule mbunge wa makadara kenya na mavazi yake sometimes na vipuri maskioni na miwani ya jua bungeni?
 
She is Shy-rose and I am in love with Shy-rose Bhanji............................I LOVE YOU SHY-ROSE BHANJI................................
 
kuna mmama mmoja kule italia alikuwa pornstar baadae akawa mbunge, ikitokea huku kwetu sijui itakuwaje! kweli hatuongozwi na nguo au utupu wa mtu. utamsemaje yule mbunge wa makadara kenya na mavazi yake sometimes na vipuri maskioni na miwani ya jua bungeni?

mbaya zaidi jamaa wa makadara pamoja na yote ni mzungu wa unga na kenya nzima inajua ........lakini ni mheshimiwa!
 
Shy-rose ni bora kuliko wabunge wa kuteuliwa wengi wa ccm unaodhani wanavaa vizuri lakini ni dhurumati wakubwa wa umma wa watanzania.
Majungu mengine hayana sababu. pambaf....
 
Wacha majungun kijana! Rose ni mtu wa watu na seems anaweza kuongoza. Mbona mavazi yake ni ya kawaida tu.
 
Wakuu huyu mwanasiasa shy-rose bhanji naona amekuwa akijitangaza sana kwenye mitandao ya kijamii hivi ana agenda gani? Bado ana ndoto za kutuongoza watanzania? Kwa nini anavaa mavazi yasiyo na staha kama kweli anataka kuwa kiongozi wetu ? Naomba maoni

weka picha tuone
 
Back
Top Bottom