Shy-Rose Bhanji went successful surgeries

Shy-Rose Bhanji went successful surgeries

laparascopic na hilo liplaster kwenye bikini line kwa juu? Na hivyo vitundu vingine vilivyowekewa gauze-?
two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomy
 
Pole kamanda. Nimejishangalisha tu na ushamba wangu kuanika tumbo lenye madonda kule fb. Was that necessary? Ati nilimlaumu alietweet kuhuhu kufanyiwa kwako operation nikadhani kaingilia privacy yako. Kumbe hata angeweka na picha ya before op ingekuwa poa!
Pole mama, Mungu akuponye fasta. Endelwa kutupa progress.

haahahha! mm nilisema nikaambulia kuambiwa ni mshamba. uwiiiiiiiii! mm hata nikiwa naumwa tu sitak dr a disclose kwa mtu baki juu ya uonjwa wangu sembuse kuonyesha madonda!!!!!
 
watu wanapofanyiwa surgery kama hii huwa wanafanya siri,sasa huyu bibi sijui ndo anaona sifa mapicha na kujitangaza.nina wasiwasi ana kasoro kwenye ubongo huyu.

aafu na ye ni mbunge wa kujadiliana na wakenya, wanyarwanda na waganda. Ptuuuuuuuh..!
 
two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomy

so why are saying laparascopic surgery wakati kuna mixture?
 
haahahha! mm nilisema nikaambulia kuambiwa ni mshamba. uwiiiiiiiii! mm hata nikiwa naumwa tu sitak dr a disclose kwa mtu baki juu ya uonjwa wangu sembuse kuonyesha madonda!!!!!

watu wenye iq below normal ndo matatizo yao. Ataona vitu visivyotakiwa kila mtu aone ndo vyakuonesha kwa jamii. Watu unamfanyia operation kesho yake ukimwambia funua nione kidonda anasita sembuse kuonesha picha hadharani!
 
Umewekuwa na Ubavu wa ku Tweet ulivyotoka Theatre,ni kweli it went successful!!Haya tutakuombea,je na Mama Simba naye tumuombe ajumuike nasi kwenye maombezi?
 
Jamani hizi Lugha zenu hizi cc wengine Darasa la saba tu hatuelewi kitu hapa...hebu tuambieni anaumwa nini huyu Mama hapa juu..!!inshort tu..daahh..maana naona chenga chenga tu za mchela hapa!!

Laparoscopic surgery
also referred to as minimally invasive surgery describes the performance of surgical procedures with the assistance of a video camera and several thin instruments. During the surgical procedure, small incisions of up to half an inch are made and plastic tubes called ports are placed through these incisions. The camera and the instruments are then introduced through the ports which allow access to the inside of the patient.
 
Bado sijakupata. Nimeokotaokota kizungu si hapa, ila sasa anaumwa nini?!
 
Best wishes S Rose, we wish you a quick recovery
 
Du kamanda anaweka privacy yake rehani kiasi hiki? Kweli publicity nyingine ni hatari!! Ametolewa mauvimbe nini? Maana kwa umri wake ndo mwake mara nyingi na hasa kama hujazaaa!!! Pole Mheshimiwa!!
 
watu wenye iq below normal ndo matatizo yao. Ataona vitu visivyotakiwa kila mtu aone ndo vyakuonesha kwa jamii. Watu unamfanyia operation kesho yake ukimwambia funua nione kidonda anasita sembuse kuonesha picha hadharani!

sijui hata huko ELA ataonekanaje. hv hakuwa reputation yake kwa position alonayo??
i can imagine anaingia bungen wenzie wanampa pole huku wakijua anamshono juu ya bikini line ana kitobo pemben etc.
uwiiiiiiiii mbaya zaid kuonyesha tumbo lako hadharan kwa mwanamama ni jambo la fedheha sana, sasa yeye sijui kwake ni fashion ama.

kimsingi bra angepita hata LE MUTUZ kuliko huyu bidada. ama bado anakumbukia alivyokuwa anatoka na jafarai so anassume ni stadi show wake.
 
two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomy
Mmmmhhhh!!!! Hebu iandike kwa kiswahili kitupu hii mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom