Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,181
- 166,178
Mzigua90 utajisikiaje ukiwa unatoa pesa yako mifukoni ili kulihudumia shamba langu, halafu mwisho wa misukule hata punje moja ya njegere? Na ile nafasi ya usimamiaji kisima nikutimue?Hata hakua na haja ya kusema yote hayo sana sana anaonekana ni kweli ana hasira na serikali ya Magufuli
Nitaumia ila maisha yanaendelea. Huwezi kuishi na hasira wakati ulitoa kwa mapenzi yako. Hakuahidiwa cheo baada ya ushindi.Mzigua90 utajisikiaje ukiwa unatoa pesa yako mifukoni ili kulihudumia shamba langu, halafu mwisho wa misukule hata punje moja ya njegere? Na ile nafasi ya usimamiaji kisima nikutimue?
well said katotoNitaumia ila maisha yanaendelea. Huwezi kuishi na hasira wakati ulitoa kwa mapenzi yako. Hakuahidiwa cheo baada ya ushindi.
Ndugu huyu jamaa tulimchagua kwa utashi wetu kabisa mimi nikiwa miongoni mwao. Yapo mema kafanya na makosa pia, nimekuwa mvumilivu wa makosa yake na nadhani ninge endelea kumpa muda isipo kuwa pale alipo unda kundi la kuuwa na kuteka, kupoteza serekali yake ikalibatiza jina la la wasio julikana! hamu yote iliniishia, imani yangu kwa MAGUFULI haipo kabisa.Ni kweli ameumizwa sana na ataendelea kuumizwa na anawakilisha maoni ya mamilioni ya watanzania vimbelembele waliompigia kampeni na kura Magufuli lakini mwisho wa siku wakaishia kuisoma namba.
Jinsi yako ni ipi?Huyu alikuwa ni mzigo kwa CCM, hakuwa anaisaidia CCM bali kuichafua kutokana na ulevi wake hadi mahali pa kazi. Aibu aliyoletea taifa kwa kulewa mkutanoni na kufanya vurugu kwenye ndege sababu ya ulevi alitegemea Magu mzee wa vetting za usalama angempitisha.
Na anachofanya saivi anazidi ku prove Magu yupo sahihi, dada Shy Rose hastahili ile kazi, hana akili wala mkakati wowote, kama anategemea kumtisha Magu kwa kutukana na kushinda Ghetto na Halima Mdee huku akiposti ujinga ujinga kwenye mtandao ni wazi basi alikuwa hajaiva. Mwanaume mwenye akili akijerehiwa anafunga mdomo na kufanya mikakata ya chini kwa chini, mbona kina Malima, Mkuchika na RC wa Tabora wamerudishwa kwenye system.
Mwisho na muhimu, dada Shy-Rose chunga sana unavyoshinda shinda Ghetto na Halima Mdee, Ester Bulaya hafurahii kuja kuja kwako, wivu wa mapenzi mbaya, utakuja chomwa kisa bure.
Unajua maana ya neno makavu? Kama upo karibu yake muulize mwaka 2010 alilalamika nini kwa Mzee Makamba! Nyani haoni kundule waswahili walinenaShy-Rose Bhanji
Imekuwa ni desturi kwa baadhi ya WanaCCM kwamba kila ninapotoa maoni yangu ya kukikosoa chama changu au serikali wamekuwa wananishambulia kuwa ni sababu ya kukosa ubunge wa Afrika Mashariki. Sina chuki ya kukosa ubunge na hii naisema kutoka moyoni. Siku zote nimekuwa mkweli kwamba pale panapotakiwa kukosoa sijasita kufanya hivo na pale panapotakiwa kupongeza sijasita kufanya hivo. Kwa vile ninanyanyaswa sana ni vizuri nilitolee ufafanuzi: Huo ubunge siyo kwamba nilikosa lakini ni kutokana na majungu, fitna na roho mbaya ya baadhi ya watu....vita niliyopigwa ni kubwa sana na Mungu tu ndo anajua. Ni kweli kwamba niliumia sana sana kwasababu sikujua nimemkosea nini Rais Magufuli mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote. Isitoshe kazi yangu ya ubunge niliifanya kwa kujituma na kwa moyo wangu wote. Ulikuwa huniambii kitu pale lilipotajwa jina lake...nilifunga safari mpaka mikoani kumfanyia kampeni kwa pesa zangu mfukoni siyo kwamba anipe cheo, hapana ni kwasababu nilimwamini. Na Naomba niwaulize hivi JK angemkata jina Magufuli baada ya kushinda kura za maoni ndani ya chama angejiskiaje? Hakika angeumia lakini nina imani angemsamehe kama vile mimi nilivomsamehe. Hizi ni nafasi leo zipo na kesho hazipo. Ni sawa na kuja duniani na kesho tunaondoka. Naomba sana sana msininyanyase kwasababu mnaniumiza moyo wangu
Si ukiseme hicho alicholalamikaUnajua maana ya neno makavu? Kama upo karibu yake muulize mwaka 2010 alilalamika nini kwa Mzee Makamba! Nyani haoni kundule waswahili walinena
Yupo sahihi anakumbukumbu ila wewe unaonekana bado mchangaJinsi yako ni ipi?