Elections 2010 Shy-Rose Bhanji amvaa Idd Azzan

Shyrose, acha kukaa na watu wasioeleweka. Kumbuka ukiingia kwenye siasa watu watachana personal life yako. Kutembea na msanii mdogo sana kwa umri kuliko wewe watu lazima watachambua. Lakini kukaa na hawa wasanii,naona kumekusaidia kuona matatizo yao... In short, watch who you hang out with...Ondoa picha kwenye mtandao zinazoweza kuleta habari zingine..
 
Kamama haka kanavuta bangi sana. Kana mambo mengi ya hovyo. Uongozi wa kisiasa haukafai. Vijana wetu watakaiaga kama mafisadi wanavyozaa mafisadi sasa hivi!
 
Tungepata wabunge kama Dr Slaa wakasimamia kupunguza malipo yao Hata kwa 50%..
Afu tuone wangapi watakimbilia mjengoni...
 
Huyu Shayros...ndio jina linavyoandikwa! ( Sijui nani alimdanganya kuandika with a "y")
Hizi mbio anazokimbilia kila kona mara atake ukamanda ,mara sijui anataka viti maalum vya UWT..mara sasa anataka ubunge wa jimbo....ni kwa manufaa ya nani???? Hakuna namna nyingine ya kutumika? Sina chochote dhidi yake na tena ni shosti wangu kwa saaaana lakini simuungi mkono kwenye hili maana kuna jambo zaidi ya tunaloliona.
Kinondoni kaeni chonjo!
 
Mtazamo wangu....huyu si mwanasiasa bali opportunist mpenda ujiko....yuko CHANETA,UWCCM(SiO UWT haipotena hii)....na sijui wapi tena.....ataishia kuwa bench warmer tu kule bungeni....ila angejaribu kuwa actor angekuwa mzuri
 
Jamaa sielewi miaka mitano bungeni amefanya nini?Kuhusu Kidato cha nne amefika,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

kwa mujibu wa duru za siasa za ccm - kinondoni, ukweli ni kwamba jamaa ana wakati mgumu sana, ufanisi wake ni hafifu mno ... anapata wakati mgumu sana kujibu maswali ya maendeleo kwenye vikao vya ndani vya chama ... na inasemekana hata mkulu amehoji hilo na wenyewe wanadai atashangaa sana kama jamaa atapitishwa na wanachama wa kinondoni! Miezi michache alianza kujenga mtandao wa vijana na kuwakatia mshiko ili waweze kumjengea ushawishi wa kurudi "mjengoni" lkn nasikia ame-back off baada ya mbinu zake kushtukiwa kwani amekuwa akifanya hivyo bila ridhaa ya chama - kindondoni!

Kuhusu Shy-rose nasikia hana ushawishi sana lkn kwa sasa ndio hivyo tena ni bora liende sababu mbunge mwenyewe ndio hivyo ... inasemekana pia huyu dada anatumia msuba (ganja) ... dah hawa wabunge wetu??!! na asipotoka mshindani wa ukweli huyu dada anaweza shinda kura za maoni sababu ni wazi kwa sasa Idd Azan hauziki kabisa na huyu dada anaweza onekana ana afadhali ... otherwise sijui iweje!

Bottom line ni kwamba jimbo la kinondoni might again become a loosing side for the next "whooping" five years!
 
Majimbo yote ya Dar ni tete... upinzani ni mkali zaidi Dar kuliko mikoani... nyote mnajua.

Shy-Rose alianza mbali safari yake lakini upinzani atakumbana nao, atake asitake.

Mie namtakia kila la heri.

./Mwana wa Haki
 
07/08/2010

Picha na maelezo kwa hisani ya Wavuti.com

Takriban miaka Hamsini tangu tujiite kuwa Huru (nusu karine inaingia) Angalia hiyo picha naamini itakukumbusha nyingi ulizoziona hapa na kwengineko. Zifikirie Huduma za Afya, Elimu, Usafiri nk.

Mfikirie Raisi wako na Mawaziri wake, wafikirie Wabunge wetu na Maafisa wakuu wa serekali, mkumbuke Benjamin Mkapa, Chenge, Lowasa, Ndilu na wale wa aina yao, halafu ingalie tena hii Picha. Najua hatuko sawa na wala hatuwezi kuwa sawa, lakini ni wazi kuna Mstari unakosekana mahali, mstari wa Uwiano umekiukwa vibaya, tena vibaya sana, kwa Waumini wa Dini wanaweza kudai kuwa tumo katika Kukufuru, na ndio maana nauliza MAPAMBANO YANAANZAAAA? AU YANAENDELEAAAAA!!!!!! 50 YEARS ON....

7976228.jpg

Shy-Rose Bhanji, Handeni, Tanga

Ni jambo la heri kutembelea watu katika maeneo ya vijijini ili kupata uhalisia wa maisha huko kwa ajili ya kujipanga vyema na kuwa sauti yao katika kufikisha mahitaji yao katika ngazi husika za uongozi, pia kupanga na kuandaa mikakati ya kuwakwamua katika mazingira magumu ili nao wajisikie kuwa sehemu ya jamii inayofurahia huduma muhimu kama vile maji, umeme, barabara, shule nk.

Hongera Shy-Rose.
 
hakuna Kiongozi wa Tanzania hii ambaye huwa anamfikiria mwananchi kama huyu. Huwa nae karibu kwa kumpa Kanga na T shirts pale aitakapo kura yake then akishachaguliwa huwa anformat kichwa chake ili kiweze kuweka mambo matamu ya Dsm na Majiji makubwa ya Dunia hii...mara nipo Marekani kesho nipo Jamaica Nabembea Mtondogoo nipo Greece sasa saa ngapi atapata hata hisia kuwa kuna mtu aliemchagua na ana hali kama hii??? Ipi mipango na sera endelevu za kumkwamua mtu kama huyu???? Unadhani nae hatamani kuwa na maisha mazuri??? Vp sasa mtu huyu akishasema liwalo na liwe??? patakalika????
 
2i1nrj7.jpg

Hebu angalia hii ni moja ya shule za msingi hapa Tz huko mkoani Shy, nahii ni baada ya miaka 49 ya uhuru.
 
2i1nrj7.jpg

Hebu angalia hii ni moja ya shule za msingi hapa Tz huko mkoani Shy, nahii ni baada ya miaka 49 ya uhuru.

Dom,
Shy, Inasimama kwa Shinyanga, Kama hivyo ndivyo ile Azma ya kuikwamua hii nchi toka Mkoloni mweusi juhudi na kasi zake ziongezeke maardufu. Kwani Shinyanga ikitowa Almasi toka vita vya Mironge Mgao wa mkoa uko wapi? au hakuna mpango huo Wazee wa Vijisenti wanajengea mahekalu DSM? AIBU GANI!!!
 
kwa mujibu wa duru za siasa za ccm - kinondoni, ukweli ni kwamba jamaa ana wakati mgumu sana, ufanisi wake ni hafifu mno ... anapata wakati mgumu sana kujibu maswali ya maendeleo kwenye vikao vya ndani vya chama ... na inasemekana hata mkulu amehoji hilo na wenyewe wanadai atashangaa sana kama jamaa atapitishwa na wanachama wa kinondoni! Miezi michache alianza kujenga mtandao wa vijana na kuwakatia mshiko ili waweze kumjengea ushawishi wa kurudi "mjengoni" lkn nasikia ame-back off baada ya mbinu zake kushtukiwa kwani amekuwa akifanya hivyo bila ridhaa ya chama - kindondoni!

Kuhusu Shy-rose nasikia hana ushawishi sana lkn kwa sasa ndio hivyo tena ni bora liende sababu mbunge mwenyewe ndio hivyo ... inasemekana pia huyu dada anatumia msuba (ganja) ... dah hawa wabunge wetu??!! na asipotoka mshindani wa ukweli huyu dada anaweza shinda kura za maoni sababu ni wazi kwa sasa Idd Azan hauziki kabisa na huyu dada anaweza onekana ana afadhali ... otherwise sijui iweje!

Bottom line ni kwamba jimbo la kinondoni might again become a loosing side for the next "whooping" five years!

Kwani jimbo la kinondoni ni lazima mbunge atoke CCM?
 
Dom,
Shy, Inasimama kwa Shinyanga, Kama hivyo ndivyo ile Azma ya kuikwamua hii nchi toka Mkoloni mweusi juhudi na kasi zake ziongezeke maardufu. Kwani Shinyanga ikitowa Almasi toka vita vya Mironge Mgao wa mkoa uko wapi? au hakuna mpango huo Wazee wa Vijisenti wanajengea mahekalu DSM? AIBU GANI!!!
at least wana madawati
 
Very soon tutaanzisha BONGO UBUNGE SEARCH where we vote thru sms to 1554.
Maana watu wanachaguliwa bcoz of popularity instead of sera. Sad indeed.
 
BONGO UBUNGE SEARCH. Tuma ujumbe mfupi kwenda 1556 kumchagua mbunge wako 2010.
 
Watanzania wenzangu, kwa nini hatutaki kuelewa MAENDELEO YA WATANZANIA YATALETWA NA WATANZANIA.

Maendeleo ya Kinondoni yataletwa na Wana Kinondoni, sio Mbunge.

Kweli kabisa, maendeleo yataletwa na watu.
Hakuna tofauti sana ya Azan na Shy- Rose, wote ni watu wa starehe na kujirusha, ingawa Shy-Rose amefanya kazi kwa muda ya kuhudumia jamii , hasa kwa kupitia NMB, lakini yote yalikuwa si mpango wake binafsi bali benki anayoifanyia kazi kwa ujumla.

Ajenda anazosema za kufanyia kazi, ni muhimu lakini hana mashiko ya kuweza kufanya lolote.

Binafsi, ningeona ajenda nzuri ingekuwa mf.

1. Nataka kuchochea maendeleo ya Kinondoni kwa kufanya kazi pamoja na wananchi kupitia serikali zao za mitaa ili kuondoa kero zilizopo, utawala bora , barabara za mitaa, uchafu, ulinzi na usalama, kuanzisha na kuchochea ajira ndogondogo za wananchi wa kawaida, vijana katika maeneo yao na kuangalia sheria za jiji.

Kwa kweli mbunge au kiongozi yeyote atakayeanza katika ngazi ya wananchi ana uhakika wa kufika mbalimbali.

Kila kitu kipo, kasoro ni uongozi unaoweza kusimamia mambo.
 
07/08/2010

Picha na maelezo kwa hisani ya Wavuti.com

Takriban miaka Hamsini tangu tujiite kuwa Huru (nusu karine inaingia) Angalia hiyo picha naamini itakukumbusha nyingi ulizoziona hapa na kwengineko. Zifikirie Huduma za Afya, Elimu, Usafiri nk.

Mfikirie Raisi wako na Mawaziri wake, wafikirie Wabunge wetu na Maafisa wakuu wa serekali, mkumbuke Benjamin Mkapa, Chenge, Lowasa, Ndilu na wale wa aina yao, halafu ingalie tena hii Picha. Najua hatuko sawa na wala hatuwezi kuwa sawa, lakini ni wazi kuna Mstari unakosekana mahali, mstari wa Uwiano umekiukwa vibaya, tena vibaya sana, kwa Waumini wa Dini wanaweza kudai kuwa tumo katika Kukufuru, na ndio maana nauliza MAPAMBANO YANAANZAAAA? AU YANAENDELEAAAAA!!!!!! 50 YEARS ON....

7976228.jpg

Shy-Rose Bhanji, Handeni, Tanga

Ni jambo la heri kutembelea watu katika maeneo ya vijijini ili kupata uhalisia wa maisha huko kwa ajili ya kujipanga vyema na kuwa sauti yao katika kufikisha mahitaji yao katika ngazi husika za uongozi, pia kupanga na kuandaa mikakati ya kuwakwamua katika mazingira magumu ili nao wajisikie kuwa sehemu ya jamii inayofurahia huduma muhimu kama vile maji, umeme, barabara, shule nk.

Hongera Shy-Rose.

Wakuu,

CCM na wana CCM wanajua wadanganyika ni watu wa kusahau saaaana!!! Wanajua ukiwatembelea tu na kuwapiga picha, kisha ukasema picha hizi zitakuwa ni uthibitisho kwa "wakubwa" jinsi mnavyopata shida; wadanganyika huwa tunasahau na kupiga makofi, tunapata hope!!!

Ona hapa Bi Shy-Rose anawaonyesha maajabu ya camera wamama wa handeni!!!
 
Back
Top Bottom