Elections 2010 Shy-Rose Bhanji amvaa Idd Azzan

Mwaka huu kazi ipo haki ya Mungu kila mtu mwanasiasa!!!!
Good for the country in my book. Incumbents will know that anybody can vie for their posts. Angalia CCM wanavyo recycle watu wale wale kwenye nafasi za kuteuana. That era ya Kingunge, Mramba, Karume na familia, Malecela, Makinda, Mwinyi na familia, Msekwa, Makamba na familia, Salim, Mkapa, Kikwete na familia, majina yale yale is coming to an end. Civic awareness is swelling. Watu wamegundua hawa watu hawajui chochote special wanachotuzidi, ni wachemfu tu. You also have to credit the relatively freed media.
 
Huyu Shayros...ndio jina linavyoandikwa! ( Sijui nani alimdanganya kuandika with a "y")
Hizi mbio anazokimbilia kila kona mara atake ukamanda ,mara sijui anataka viti maalum vya UWT..mara sasa anataka ubunge wa jimbo....ni kwa manufaa ya nani???? Hakuna namna nyingine ya kutumika? Sina chochote dhidi yake na tena ni shosti wangu kwa saaaana lakini simuungi mkono kwenye hili maana kuna jambo zaidi ya tunaloliona.
Kinondoni kaeni chonjo!
Hivi hapo kwenye red kama ni kweli si ungeenda kumwambia mwenyewe!!! Ni lazima uanike hapa??? Halafu unajidai kujua majina we aliyekwambia jina ni lazima liandikwe kwa namna fulani nani? Acha ushamba mtu anaweza kuandika jina lake vyovyote atakavyo.
 
Hivi hapo kwenye red kama ni kweli si ungeenda kumwambia mwenyewe!!! Ni lazima uanike hapa??? Halafu unajidai kujua majina we aliyekwambia jina ni lazima liandikwe kwa namna fulani nani? Acha ushamba mtu anaweza kuandika jina lake vyovyote atakavyo.
Ouuchhhh!! OOPS!
Ulihitaji kuandika kitu hapa wewe kama siyo ushamba wako unakutuma? Mwanaume mzima unaleta ngonjera za mipasho kwenye jamvi!
 
This Mama has been sent!!, And she will definetly win and become MP and finaly somebody else in addition to being a MP
 
ninamuunga mkono shy rose amekuwa mtu wa jitihada kubwa kila mara, ila mimi namkosoa kwa ile PR yake katika jamii ya watu wastaarabu kwa mfano kusikika akiwa katika mahusiano na vijana wapiga mziki hali inayotafasiriwa kama ukosefu wa staha na pia matumizi mabaya ya fedha zake kuwapata vijana hao, pia kujitokeza kwake mara kwa mara kwenye music conserts kunapnesha kuwa hana muda wa kutosha kukoncentrate na mambo ya msingi.
USHAURI WANGU: ili atimize malengo yake ipasavyo ni vema sasa akaamua kuwa mtulivu ili kuvuta hisia za wanaompinga kwa vigezo vya PR mbovu
 
Uzuri wa CCM bwana, mtu yoyote anaweza kupata nafasi yoyote ya uongozi................teh! teh! teh!
 
Back
Top Bottom