Shy-Rose Bhanji Ajitetea

Mkitaka kuwajua wanyarwanda kwa kuplot vitu ingieni jukwaa la kimataifa.Kama waliweza kumwambia Kikwete mhutu watashindwa kumtengenezea huyo mama.Huyu mama anawasumbua sana bungeni mule.

Hujui unachoongea..bar maid huyu amsumbue nani!?
 
Khaa!! Mijitu mingine mijinga sana. Toka ilipoambiwa kuwa ni wapinzani basi akili zao ndiyo zikaishia hapo. Kazi yao ni kupinga tu bila kujali mpaka..
 
Bora kajitokeza. Sikuamini kabisa zile tuhuma feki
 
SRB angetutendea haki kama angeeleza Je sasa hivi katika EALA kuna agenda/hoja ya kutaka kumjadili kuhusu mwenendo wake?

Kama hoja/agenda hiyo ipo basi tuhuma za SRB ni za KWELI

Kama agenda/hoja hiyo haipo basi tuhuma za SRB ni za UONGO.
 
Mkuu dada ndio president material wa ccm uyo 2020 usimchafue ritz, faizafox na simiyu yetu wakiona hii coment yako huna bahati.

Ila nasikia hata ubunge alipata kingonongono



 

Hiyo nayo ni hoja ya kuandika hapa ili watu wasome...?
 
Nahisi wewe utakuwa ni lile kundi la EBOLA (CCM).

Inaonkana wewe siyo mfuatiliaji wa mambo ya EALA, katika hili Bunge kuna baadhi ya nchi zinaangalia maslahi ya nchi zao na raia wao ndiyo maana wanataka kila kitu kiende haraka, ni kwa sababu wanajua kuwa itawanufaisha. Shy-Rose pamoja na mapungufu yake mnayoyasema, lakini amekuwa akitimiza majukumu yake Bungeni kutetea maslai mapana ya Tanzania, ndiyo maana nasema wewe siyo mfuatiliaji wa Vikao vya EALA. Watanzania tumekuwa watu wa kulishwa pumba nasi tunazimeza bila kuhoji. Kwa ufahamu wako unakubaliana na tuhuma zote zilizotolewa, ikiwa ni pamoja na kuvunja chupa ndani ya ndege alafu akaachwa bila juchukuliwa hatua za kinidhamu? Tuache kuangalia zaidi mambo binafsi ya mtu hasa kama anatimiza wajibu wake vizuri, kila binadamu ana mapungufu, hata wewe una mapungufu yako (Matusi), zaidi ya hapo wewe una chuki tu.
 
Protocol ya EAC inasemaje kuhusu kuvunja bunge ?
Inainekana huli bunge lina matatizo na ubinafsi na malumbano yamezidi.
Jee nani anapaswa kulivunja?
Kama sheria inaruhusu basi Marais wa EAC wafanye hivuo haraka na uanzishe utaratibu mpya wa kuchagua wabunge.
Ukweli uwakilishi kama huu ulipaswa kugusiwa ndani ya katiba ya chenge na sifa za wagombea zingetajwa.
Seriously livunjwe kwa maslahi na heshima wa wana africa mashariki
 
huu utakuwa mpango wa komu na genge lake la chagadema tangu akose ubunge wa eac

Wewe michango yako humu unajionyesha kuwa pengine hata elimu yako ni ile ya sifa za Mbunge (kujua kusoma na kuandika tuu) au ukoo wenu una asili ya uchawi na huenda umerithi. Jichunguze.
 
Umalaya ulimtongoza akakupa.acheni chuki Na majungu vijana . Hivi kunywa pombe Tanzania nzima anakunywa huyo dada peke yake?

Tatizo hujielewi na wala hujui unatetea nini.Hapa kinachojadiliwa siyo kunywa pombe.Hoja ni kwamba kwa status aliyonayo hapaswi kufanya hayo ayafanyayo ilhali akiwa anapeperusha bendera ya Tanzania.Maana aibu inalikumba taifa na wala siyo yeye kama yeye.Kama hujaelewa mpaka hapo basi wewe akili yako ni kama ya MADENGE.
 
huo ni uzushi huwezi ukafanya ndani ya ndege then uachwe tuu...kwa hili namtetea na hizi bchi zoooote zilizotuzunguka ni *MASNITCH* nia yao nikuibunya tanzania nakufaidi km yanayotokea CONGO kwa hili mama pambana...
 

The statement " Think outside the box" should be finished with "and look at the big picture!"

Thinking inside the box is opposed to thinking outside the box bcz inside the box is like you are in a closed room and all you can define and think about or explain is what you see inside and around those walls only (what we can call fikra mgando). Outside the room (box) you have an opportunity to see thing in a different angle and see a wider picture in a more detailed scenario and you can take things in a different perspective.

Cheers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…