Shy-Rose Bhanji Ajitetea

Wanyarwanda ni wash.enz sana wametuharibia bunge la eac kwa maslahi yao!.shy rose pambana usichoke tuko pamoja nawe.
 
macho_mdiliko, lengo langu halikuwa kuchallenge hoja yako bali kushauri "uanzishe uzi" kwa faida ya jukwaa hili....!! Sikutegemea kama ungenielewa tofauti kwani nilishakuamini kwamba you have the ability of thinking outside the box...!! NASIKITIKA NIMEKUELEWA KWAMBA UNASIKILIZA/UNASOMA ILI UJIBU NA SIYO KUSIKILIZA/KUSOMA ILI UELEWE HOJA...SORRY FOR THAT
 
Shy-Rose tunakufahamu vyema siku nyingi kuwa unapenda sana kutenda haki na wema kwa.watanzania wenzako na hicho ndicho kinawafanya watu waumie kwasababu unajenga jina lako

Binafsi nilikufahamu mwaka 2008 mwezi wa saba sikumbuki tarehe pale Steers ulikuwa umekaa meza ya kulia kwetu, nilichoshangaa ni pale ulipotulipia bill bila sisi kujijua na wala hukuwa unatujua isipokuwa tu ule u neighbor wa meza tulizokaa, Mungu akubariki sana Mama
 
Wala huna haja ya kukanusha mama Mimi nilishajua hizi Ni habari za umbea tokea niliposoma hapa jamii forum.endelea kuchapa kazi.
 
Huyo haitetei Tanzania ispokuwa anaiaibisha .... Siyo lazima uandike hapa.. Unaweza ukasoma tu na kubaki kimya. Kama unaona kaonewa nenda kampe pole....

Peleka wivu wa kijinga huko.
 
..acha pombe na umalaya mama...wakati unachaguliwa kuwa mbunge wa EALA tulihoji sana humu JF...sasa wala hatushangai....fanya kazi....acha umbea na uswahili.....mnatia aibu sana wabongo....
 
Ndo mambo ya kugugo hayo halafu unashindwa kuyaweka kwenye muktadha wa lugha ya kiswahili na tamaduni husika. Kugugo haisaidii sana, we weka hoja kwa kutumia lugha adhimu ya kiswahili. Inatosha!
 
Ndo mambo ya kugugo hayo halafu unashindwa kuyaweka kwenye muktadha wa lugha ya kiswahili na tamaduni husika. Kugugo haisaidii sana, we weka hoja kwa kutumia lugha adhimu ya kiswahili. Inatosha!

Huna hoja... Fyata mkia wako...!!
 
Wanawake wakoje...?

Wana wivu sana but at least Wao Ni mapenzi Na Wao kwa wao sasa wewe rafiki yangu huna evidence yeyote unamshambulia dada wa watu hapa Kama siyo wivu tusemeje?badilika asee anyway siwezi jua yawezekana we Ni mwanamke coz we use different ID here.
 
..acha pombe na umalaya mama...wakati unachaguliwa kuwa mbunge wa EALA tulihoji sana humu JF...sasa wala hatushangai....fanya kazi....acha umbea na uswahili.....mnatia aibu sana wabongo....

Umalaya ulimtongoza akakupa.acheni chuki Na majungu vijana . Hivi kunywa pombe Tanzania nzima anakunywa huyo dada peke yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…