masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,758
- 16,586
kama umemind chukua hii
hehehe!! mmmh sisemi kitu hapa.
unataka ingine????
mbona umechelewa!!!
labda nikupe savana lol
savana tena!!!!! unataka maji yafike shingoni sasa hivi. bora uniongee coca tu!
coke sukari nyingi sana
tena mimi napenda nikipewa coca naongeza na sukari yakutoka dukani,!
nakwambia inakuwa tamuuuuuuu!,! ukitoka hapo huwezi kukumbuka hapa duniani kwamba kuna savana.
hahaha acha umasai
yaani unaongeza sukari tena
try siku moja utaniletea majibu!!! hata wakina-baba yiyoouu wanaujua ukweli kuhusiana na swala hili.
tafuta mwanasheria nimetumia jina lako kutangaza kibasi chako
masai dada hujambo?
Mpwa leo si ndo lelo?
Haya bna
Mpwa leo si ndo lelo?