SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,076
- 75,427
Halafu baada ya kummeza huyo kiumbe,pata na hii kitu mbona utaona Bongo zaidi ya peponi.
Subiri waje wahusika
aiseee umenitamanisha
Mkuu ungetumia kigezo cha bin dharura upige hii kitu ni tamu mno.Kuna mtaalamu mmoja pale Bunju A, yupo karibu na hostel ya masista wa shirika fulani la kikatoliki.
Anajua kuitengeneza hii kitu... Kwa walio itafuna siku hiyo walinisimulia kweli kwakua mimi ni ustaadh nilikua pembeni najigongea kwapa la jogoo wa kienyeji.
Hahahahaha uko vizuri mkuu!Hapa upate na safari bariiidiiiii yenye mchanganyiko na Guinness iliowekwa matone kadhaa ya teachers,haki ya Nani nyumbani utasalimiwa kwa lugha zote
Pole mamiiaiseee umenitamanisha