ShutdownApp

ShutdownApp

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Za jion wana JF nimejaribu kucreate ka shutdown application kwa VB 2010 kakusaidia kuzima computer, kurestart na kuhibernate nikaona nishee na nyie kidogo haka kaujuzi kadogo niliko nako ni just for fun so msinipige mabango
 
Attachments

kadudu kama hako nilikachukuaga askvg.com
 
hehehe google dot com mwanawaneeeee :-*

:eyebrows:​
 
hehehe google dot com mwanawaneeeee :-*

:eyebrows:​

google.com wapi mkuu fungua uone nyie ndo mnawaua moyo watanzania mtu kasoma kajaribu kutengeneza mnakuja kuandika upuuzi ww jua google mm najua nimetengeneza.
 
hapana munkari veve kijana iko tengeneza coding ya pasting na wadau iko gundua veve nafanya madesa, sasa nalia nini veve banaa kwani iko sikia mashindano hapaa :glasses-nerdy:
 
😛layball:😛layball:😛layball:😛layball::bounce::bounce::bounce::rockon::rockon::nono::nono:
 
hapana munkari veve kijana iko tengeneza coding ya pasting na wadau iko gundua veve nafanya madesa, sasa nalia nini veve banaa kwani iko sikia mashindano hapaa :glasses-nerdy:

hahahaha Umenifurahisha sana[B/]
 
Dreson3 wabongo huwa hawakubali vitu vya kwao hata kidogo... wanadhani kila kitu ni copy n paste!!!!!!!! hivi mnadhani kukopy na kupaste ni vibaya????? nani asiyecopy na kupest??? ubaya watu wahafatilii kwa makini hivi vitu...,,, angalieni hata makampuni makubwa yanatumia components za watu fulanifulani sasa yani waTZ hawaelewi GGHHAAAAA
 
Last edited by a moderator:
Dreson3 jaribu kutengeneza setup installers kwa ajili ya apps zako ili iwe rahisi kuziinstall... zipo installer nyingi ambazo ni nzuri kama vile setup builder, install station, na nyingine nyingi sana ambazo zipo more advanced
 
Last edited by a moderator:
isije niingizia virusi bure wala siifungui
 
Dreson3 jaribu kutengeneza setup installers kwa ajili ya apps zako ili iwe rahisi kuziinstall... zipo installer nyingi ambazo ni nzuri kama vile setup builder, install station, na nyingine nyingi sana ambazo zipo more advanced

Asante bro kwa kunipa moyo ntafanyia kazi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom