Shura ya maimamu yalia na polisi kuwapiga "stop" maandamano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shura ya maimamu yalia na polisi kuwapiga "stop" maandamano

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Oct 22, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,364
  Trophy Points: 280
  Shura ya maimamu inayoongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda imewalalamikia polisi wa kanda ya kati inayosimamiwa na Afande Kova kwa kuwakatalia haki yao ya kimsingi ya kuandamana na kuelimisha waumini wao juu ya elimu ya uraia kabla ya uchaguzi mkuu ujao hivi karibuni.

  Afande Kova jana aliwakatalia kwa sababu joto la uchaguzi liko juu na kazi hiyo sasa yafanywa na wagombea na taasisi zisizo za kiserikali.

  SOURCE : CHANNEL TEN EVENING NEWS
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Joto liko juu wapi?joto liko kawaida tu kwa wao wanaotaka kuchakachua matokeo ndo wanaona joto liko juu
   
 3. Mpangamji

  Mpangamji JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 536
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kova tunataka amani, tekeleza majukumu yako kulingana na sheria. wataelimisha baada ya uchaguzi.:thumb:
   
Loading...