Shule za wasichana (Boarding)

Shule za wasichana (Boarding)

mqaxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
343
Reaction score
562
Habari Wana Jamii_Forum,husika na kichwa cha habari hapo juu.

Naomba kwa anayefahamu shule za wasichana za bweni za serikali azitaje pia ata kama ni za Co (Wavulana+wasichana) zitaje hapa chini na sehemu ilipo ahsante.
 
Njoo Kilimanjaro nkufanyie mpango mwanao asome shule za serekali zenye hostel ada per year 600,000 haijalishi yupo kidato cha ngapi
Hii ni kwa O level tu
Na advance pia nafanya hiyo kazi

Call and WhatsApp
0764616353
 
Mpeleke Ifunda girls ya iringa inafaurisha vizur sana combination zote lakn Ni kwa advance (Alevel) sa sijui unataka za ol-evel au A-level
Ni O Level inayohitajika
 
Njoo Kilimanjaro nkufanyie mpango mwanao asome shule za serekali zenye hostel ada per year 600,000 haijalishi yupo kidato cha ngapi
Hii ni kwa O level tu
Na advance pia nafanya hiyo kazi

Call and WhatsApp
0764616353
Nitawasiliana nawewe..
 
Back
Top Bottom